• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MAKETE AWATAKA WATUMISHI WAPYA KUYAISHI MAADILI YA KIUTUMISHI WA UMMA

Tarehe Iliyowekwa: September 2nd, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Jerry Daimon Mwaga, amewataka watumishi wapya wa Halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa wafuata maadili ya kiutumishi pamoja utu katika kutimiza majukumu yao ya kila siku.

Ndg. Mwaga, amesema hayo leo Agosti 02,2025, wakati akizungumza na watumishi wapya ambao wapo kwenye mafunzo ya Utangulizi kabla ya kuanza majukumu ya kiutumishi wa Umma ambayo yanafanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Walimu Tandala, kilichopo kata ya Tandala Wilayani Makete.

“Utumishi wa umma unaendana na Maadili ya kikazi pamoja na mavazi yako unayovaa unapokuwa kazini, hivyo kila mmmoja lazima ajue kutofautisha majukumu yake na kikazi na binafsi kwakuwa serikali imekuamini hivyo timiza wajibu wako, pamoja na kujua mipaka yako ya kiutendaji” Alisema Ndg. Mwaga.

Aidha, ameongeza kwa kuwataka watumishi hao kujiandaa mapema na kustaafu kwa kuwekeza sehemu mbalimbali kwakuwa utumishi wa Umma una ukomo wake, ili kuhakikisha kuwa mtumishi huyo hakumbani na changamoto zozote pindi atakapostaafu.

Hata hivyo, amewataka watumishi hao kutosita kufika ofisini endapo watakutana na changamoto zozote katika utekelezaji wa majukumu yao kwakuwa serikali ina namna mbalimbali za utatuzi wa changamoto zake kwa watumishi wa umma.

Sambamba na hayo, kabla ya kukutana na Watumishi hao wapya, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. Jerry Daimon mwaga, alikutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Chuo cha Walimu Tandala, ambapo amewasihi kuendelea kuwawatengeneza Walimu bora ambao watakuja kuwa na tija katika kuwafundisha watoto hapo baadae.  

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MAKETE AWATAKA WATUMISHI WAPYA KUYAISHI MAADILI YA KIUTUMISHI WA UMMA

    September 02, 2025
  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.