• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MAKETE DC AAGIZA KUKAMILIKA HARAKA KWA NYUMBA PACHA YA WATUMISHI KITUO CHA AFYA KIPAGALO

Tarehe Iliyowekwa: September 11th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Jerry Daimon Mwaga, leo Septemba 11,2025, amekagua umaliziaji wa Majengo kadhaa katika Kituo cha Afya Cha Kipagalo, ikiwemo Jengo la kuhifadhia Maiti, Upasuaji, pamoja na nyumba pacha ya Watumishi. 

Akizungumza mara baada ya Ukaguzi wa Nyumba pacha ya Watumishi, amemuagiza fundi anayejenga Jengo hilo kukamilisha shughuli mbalimbali zilizobaki ili wiki ijayo wahudumu wa kituo hicho waanze kuitumia Nyumba hiyo, kwakuwa kituo hicho kimeanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje.

Aidha, Ndg. Mwaga, amekagua Ujenzi wa bweni la Wasichana katika Shule ya Sekondari Tupevilwe, ambapo ameonesha kutoridhishwa na kasi ya ukamilishaji wa Bweni Hilo licha ya kuwepo kwa malighafi zote za Ujenzi.

Ikumbukwe kuwa, Kituo cha Afya cha Kipagalo kimepelekewa Fedha kiasi cha Shilingi milioni 805, (TASAF) ili kukamilisha Mradi huo, ambapo kwa sasa wapo katika hatua ya umaliziaji Kwa baadhi ya majengo, sambamba na Shule ya Sekondari Tupevilwe iliyopo katika ya Bulongwa ambayo ilipewa zaidi ya Shilingi Milioni 480,(SEQUIP) Kwa ajili ya Ujenzi wa Mabweni mawili, vyumba vinne vya madarasa, pamoja na nyumba pacha ya watumishi wa Shule hiyo.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MAKETE DC AAGIZA KUKAMILIKA HARAKA KWA NYUMBA PACHA YA WATUMISHI KITUO CHA AFYA KIPAGALO

    September 11, 2025
  • TARI YARIDHIA KUJENGA KITUO CHA UTAFITI WA MBEGU MBORA ZA KILIMO CHA VIAZI MVIRINGO NA TUFAA WILAYANI MAKETE

    September 10, 2025
  • DED MAKETE AWATAKA WATUMISHI WAPYA KUYAISHI MAADILI YA KIUTUMISHI WA UMMA

    September 02, 2025
  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.