• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MAKUFWE AKERWA NA MATOKEO KIDATO CHA PILI , SHULE YA SEKONDARI IWAWA , ILIYOPO WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: January 19th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, leo Januari 19/2024, ameonesha kutoridhishwa na baadhi ya watumishi wa Umma, hususani walimu wa Shule ya Sekondari Iwawa, Iliyopo Wilayani Makete, baada ya kutokuwa na matokeo mazuri Kwa kidato cha Pili.

Ndg. William Makufwe, amesema hayo wakati wa kikao kazi na Kamati ya Maendeleo ya Kata, katika Kata ya Iwawa, iliyopo Wilayani Makete, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya siku ya Nne ya kukagua Uandikishaji wa wanafunzi ngazi ya awali, Msingi na Sekondari Kwa Kidato cha kwanza, pamoja na kusikiliza kero za wananchi.

"Kuna kanuni za kuwasimamia walimu pale wanaposhindwa kutimiza majukumu yao pamoja na wanafunzi , haipendezi kuona shule ipo Mjini inaongoza kwa kufelisha hii haileti picha Nzuri, walimu na wazazi shirikianeni vizuri ili hii changamoto isijirudie tena kwasababu ufaulu I a mtoto unaanzia nyumbani" Alisema Ndg. William Makufwe.

Aidha, Ndg. Makufwe amewataka viongozi hao kutoa Elimu ya matumizi sahihi ya Mbolea na sio kuandaa mashamba Kwa kuchoma moto, kwakuwa wamekuwa wakisababaisha hasara kwa wamiliki wa misitu ya kupandwa na Asili.

Sambamba na hayo, Ndg. Makufwe, amewataka viongozi wote kuanzia ngazi ya Kitongoji kuwa mabalozi wazuri wa Serikali iliyopo madarakani kwa kutoa taarifa za utekelezaji wa miradi pamoja na kuwasomea wananchi taarifa ya mapato na matumizi.

Kwa upande wake, Kaimu Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Bi. Agnes Columbani, amewataka viongozi kuwa mabalozi wazuri, katika kuhakikisha mtoto anapata Lishe akiwa tangu tumboni mwa mama yake.

"Lishe bora ni maisha ya Mtoto kwa miaka yake yote, hivyo basi akikosewa tangu akiwa tumboni mwa mama yake, basi utakuwa umemharibia maisha yake yote, kwakuwa hatakuwa na uwezo wa kufikiri vizuri" Alisema Bi. Agnes Columbani. 

Ikumbukwe kuwa, Leo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe amefanya ziara hiyo, katika kata mbili za Lupalilo na Iwawa, ambapo amesikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.