• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

Tarehe Iliyowekwa: June 4th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. Jerry Daimon Mwaga, ametoa rai kwa wananchi wa Halmashauri hiyo kuhakikisha kuwa wanashiriki kimamilifu kwenye utekelezaji wa miradi ambayo inatekelezwa katika maeneo yao ili iweze kukamilika kwa wakati.

Ndg. Mwaga, amesema hayo leo Mei 4,2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kitula, kilichopo Kata ya Kipagalo, mara baada ya ukaguzi wa miradi   mbalimbali katika kata hiyo ya Kipagalo, Luwumbu, Bulongwa, Ipelele na Iniho.

“niwaombe sana wananchi wenye miradi kwenye maeneo yenu,shirikianeni vizuri na wasimamizi wa miradi, mafundi pamoja na Serikali kwa ujumla katika kuhakikisha kuwa, miundombinu hiyo inakamilika kwa wakati kutokana na umuhimu wake katika jamii” alisema Ndg. Mwaga.

Aidha, Ndg. Mwaga, amewataka wahandisi wa Halmashauri kutoa ushauri wa kiufundi pamoja na kuitemblea miradi hiyo mara kwa mara ili iwe na ubora unaotakiwa na serikali, ikiwa ni pamoja na kudumu kwa muda mrefu kutokana na umuhimu wake katika ustawi wa kijamii.

Sambamba na hayo, Ndg. Mwaga, amewataka walimu pamoja na watumishi mbalimbali wilayani humo kuhakikisha kuwa miundombinu inayojengwa na serikali inatunzwa sambamba na kuendana na huduma zinazotolewa, kama vile ufaulu wa wanafunzi katika shule mbalimbali ndani ya Halmashauri hiyo ya Wilaya ya Makete.

Katika Upande mwingine, Mkurugenzi mtendaji, ametoa siku 10 kwa watekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha Afya Kipagalo, kuhakikisha kuwa majengo yote ambayo yalianza awali yawe yamekamilika kwa asilimia 100, kutokana na uhitaji wake kwa wakazi wa kata ya Kipagalo na maeneo ya jirani.

Naye, Mwenyekiti wa kijiji cha Kitula, Bi. Jenifer Sanga, akizungumza kwa niaba ya wakazi wa kijiji hicho, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan, kwa kuwapelekea fedha Zaidi ya shilingi milioni 100, ili kuboresha miundombinu ya elimu na afya ndani ya kata hiyo.

Ikumbukwe kuwa, MkurugenzI Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Jerry Daimon Mwaga, leo ametembelea na kukagua miradi katika kata za Kipagalo, Luwumbu, Inihi, Ipelele, Bulongwa na Iniho, ambapo hapo kesho Mei 5,2025, akiwa pamoja na wataalam wa Halmashauri ataendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi katika kata za Kitulo, Matamba, Isaplano, Mlondwe na Kinyika.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.