• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HALI YA LISHE WILAYA YA MAKETE INARIDHISHA

Tarehe Iliyowekwa: October 24th, 2022

Watendaji wa Kata zote 23 Wilaya ya Makete wamesaini Mkataba wa lishe ngazi ya Jamii katika Kata zao mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda.

Mkataba huo umesainiwa leo 24 octoba 2022 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Makete kwa lengo la kupambana na Utapiamlo kwa watoto chini ya miaka mitano (5).

BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amewaagiza watendaji wa Kata kuhakikisha wanasimamia shughuli za Lishe kwa watoto kwenye Kata zao ili kuwa na watoto wenye Afya bora kwa kuwa Wilaya ya Makete inakubali mazao aina nyingi ambayo yanaweza kusaidia kupambana kwa kiasi kikubwa katika kuepuka utapiamlo kwa watoto.

Akizungumzia hali ya Utapiamlo katika Wilaya ya Makete kwa kipindi cha robo mwaka Afisa Lishe Wilaya  Bi. Jakline Nannauka amesema hali ya Lishe ni nzuri kwa watoto waliowengi na elimu kwa wananchi inaendelea kutolewa kuhusu umuhimu wa lishe bora kwa watoto.

“Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya, hali ya lishe katika Wilaya ya Makete kwa kipindi cha robo mwaka ni nzuri na wananchi wengi wanaendelea kupata elimu kutoka kwa wahudumu wetu wa Afya kwa kutoa elimu kaya kwa kaya na kuhakisha wananchi wote wanafikiwa na elimu kuhusu Lishe hususani wanawake wajawazito”.

Mganga Mkuu Wilaya ya Makete Ligobert Kalisa amesema Wilaya ya Makete inaongoza kwa kuwa na Lishe bora kwa watoto Mkoa wa Njombe na kushika nafasi ya 16 Kitaifa jambo ambalo linaashiria hali ya lishe kuwa bora.

“Wilaya ya Makete imekuwa ya kwanza kimkoa na imeshika nafasi ya 16 Kitaifa katika suala la Lishe hivyo hatuna budi kuwapongeza Viongozi na wananchi, na Matarajio yetu robo ijayo tuwe katika nafasi nzuri zaidi Kitaifa”

Kwa upande wake Mtendaji Kata ya Ikuwo Mtunyule Joachim amesema wao kama viongozi wasimamizi ngazi ya Kata watahakikisha hali ya lishe inaboreshwa zaidi katika Kata zao kwa kuongeza uwajibikaji kwa Mzazi au mlezi mwenye mtoto chini ya miaka mitano.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.