• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA MAKETE YAKUSANYA BILIONI 4 KWA MWAKA 2021/2022

Tarehe Iliyowekwa: July 14th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mkoani Njombe imekusanya shilingi Bilioni 4,062, 443,747.46 sawa na 163%  kutoka kwenye vyanzo vya ndani halisi na mapato mengineyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Katika kipindi cha julai 2021 hadi juni 2022 Halmashauri ilipanga kukusanya jumla ya Tshs. Bilioni 2,486,669,000.00 kutoka vyanzo vya mapato ya ndani halisi na mapato ya ndani mengineyo (Mapato lindwa).

Mkurugenzi Mtendaji (W) Makete ndg. William Makufwe amesema hayo jana julai 13, 2022 wakati wa kikao cha watendaji wa kata zote 23, watendaji wa Vijiji 98 na wakuu wa Idara wakati wakijipanga na kuweka mikakati ya kusimamia ukusanyaji wa mapato kwa mwaka huu wa fedha 2022/2023.

Makufwe amesema “Makete hatujawahi kufeli na hatutafeli hatika hili, kwa sababu katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri imefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi Bilioni 4,062,443,747.46 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato”.

Pia amesema katika kipindi cha kuishia juni 2023, Halmashauri imepanga kukusanya kiasi cha Tshs. 4,600,320,000.00 kutoka katika vyanzo mbalimbali vya mapato hali ya ndani na mapato mengineyo.

Makufwe amesema mapato ya ndani halisi ni tsh. 4,000,000,000.00 na mapato mengineyo ni tsh. 600,320,000.000 pia ameeleza mikakati iliyowekwa ikiwemo kulipa motisha kwa wakusanyaji wa mapato kwa wakati kwa wale wanaokusanya na kubenki kwa wakati.

Pia kuendelea kutoa elimu elimu kwa walipa kodi/tozo/ushuru na kutoa ushirikiano wa haraka kwa wakusanya mapato wanapohitaji msaada.

“Niwasihi watendaji wa Kata na vijiji tukasimamie kwa umakini ukusanyaji wa Mapato kwenye vijiji vyetu na kila chanzo cha mapato kwenye kijiji lazima tusiamie vizuri ili kufikia lengo hili na ikiwezekana tufikishe bilioni 5”.

Kwa upande wake Afisa Mapato Wilaya ndg. Bwire Muyengi amesema vilivyoainishwa kwenye mapato timu ya Mapato na watendaji wa vijiji watahakikisha mapato yanakusanywa kikamilifu na kwa uaminifu.

Baadhi ya watendaji wa vijiji wamesema wafanyabiashara wengi wamekuwa wajanja kwa kutoroka bila kulipa mapato hivyo kuna wakati inawapa changamoto ya usimamizi katika makusanyo

Immelezwa kuwa wapo wafanyabiashara na watumishi wasiowaaminifu katika ukusanyaji wa Mapato jambo ambalo watendaji hao na Mkurugenzi wamekubaliana kuwachukulia hatua za kisheria wote watakaobainika kuhujumu ukusanyaji wa mapto.

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda ameagiza mtu yeyote atakayeonekana kukiuka utaratibu na kutoroka bila kulipa mapato akikamatwa alipe faini.

Pia Mh. Sweda amewaagiza watendaji hao kuongeza umakini kwenye vituo vyao vya kazi na barabara zote za kutoka na kuingia kwenye vijiji ili kuziba mianya yoyote ya ubadhirifu wa mapato ya Serikali.

Sambamba na hilo Halmashauri ya Wilaya ya Makete imetoa zawadi kwa watendaji wa Kata ambao wameongoza kwa kusimamia vizuri zoezi la Anwani za Makazi

Ambapo Kata ya Mang’oto imeongoza kwa kufanya vizuri ikifuatiwa na kata ya Kipagalo, Iniho, Kitulo, Isapulano, Ipelele na Matamba

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.