• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

Tarehe Iliyowekwa: July 4th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Makete, leo Julai 4,2025, imetoa Mkopo kiasi cha Shilingi Milioni 401,402,000.00 kwenye vikundi 25, vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulememavu, ikiwa ni awamu ya tatu ya Utoaji Mikopo ya Asilimia 10, kwa vikundi vya Ujasiriamali.

Akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi kwa Vikundi hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, amewataka wanufaika wa mkopo huo, kuzitumia fedha hizo kwa malengo waliyoyapanga ili ziweze kuwasaidia na kuwainua kiuchumi.

"Lengo la serikali kutoa mikopo hiI ni kuwasaidia wananchi kujikwamua kiuchumi, kwahiyo hizi fedha mlizopewa zitumike vizuri na kuweni waaminifu katika kuzirejesha kwa wakati ili ziweze kuwanufaisha na watu wengine" Alisema Mhe. Gwakisa.

Naye, Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Bi.Jacklina Thomas Mrosso, amewatata waliopata mkopo huo kutumia kwenye miradi iliyopo kwenye mikataba yao na kama kunamtu atabadilisha mradi anapaswa kuwasiliana na Ofisi ya Maendeleo ya Jamii, na kuwataka kuzirejesha fedha hizo kwa wakati kama mkataba wao unavyoelekeza.

Aidha, Bi. Mrosso, amezitaja kata zilizonufaika na mkopo huo kuwa ni Lupalilo, Tandala, Ukwama, Kitulo, Bulongwa,Itundu,Ikuwo,Iwawa pamoja na Mlondwe.

Kwa Upande wake, Katibu wa Vijana wa Chama Cha mapinduzi Wilaya ya Makete, Ndg. Kapolo, ameishukuru Serikali kwa kuendelea kutoa mikopo hiyo na kuwasihi wanufaika wa mkopo huo kujiepusha na matumizi mabaya ya fedha hizo badala yake zitumike katka malengo mahususi waliyoyapanga.

Akizungumza kwa niaba ya Wamufaika wa Mkopo huo, Ndg. Hongera Mahenge, ameishukuru serikali kwa kuwapatia mikopo hiyo na kuwasihi waliopata mkopo huo kuzingatia matakwa ya mkataba na kuzitumia fedha hizo kwa malengo mahususi ili ziwanufaishe katka shughuli zao. 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO, LASIFIWA KWA UZALISHAJI MZURI WA MITAMBA KWAAJI YA MAZIWA HAPA NCHINI

    July 04, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 401,402,000.00 KWA VIKUNDI 25.

    July 04, 2025
  • MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

    June 18, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.