• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HATI MILIKI ZIWANUFAISHE

Tarehe Iliyowekwa: September 24th, 2022

Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Dkt. Seraphia  Mgembe  amewataka wananchi wa Kijiji cha Malembuli na Tandala kutumia Hati miliki za ardhi katika kukua kiuchumi kwa kujipatia mikopo ili kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji

Dkt.Mgembe amesema hayo mapema leo akiwa Kijiji cha Malembuli na Tandala wakati wa kukabidhi hati miliki za ardhi zaidi ya 100 kwa wananchi wa Tandala na kuweka jiwe la Msingi Jengo la Masijala ya Ardhi kijiji cha Malembuli  huku akiwasihi wananchi kushirikiana katika shughuli za Maendeleo na kupambana na adui Umasikini

“Hati hizi zinaweza kuwasaidia kupata fedha kwa kwenda kwenye Taasisi za kifedha na kukaaminika ukapata fedha za kufanya shughuli zako za kiuchumi…hivyo tuzitumie vizuri na yasiwe mapambo”

“Mhe. Rais anajua wananchi wa Malembuli Wilaya ya Makete mnauhitaji na mambo mengi ndio maana amejenga barabara ya Lami kutoka Njombe mpaka Makete, umeme tumeona unaletwa hapa hivyo tushirikiane kuunga mkono juhudi za Rais”. 

Augustino Ngailo Afisa Tarafa ya Lupalilo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda akiwa Mgeni rasmi amewapongeza MKURABITA na wananchi wa Malembuli kwa ujenzi wa Ofisi hiyo ya Kisasa

Ngailo ameongeza kuwa Serikali imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali katika Kata ya Mang’oto na Kijiji cha Malembuli kimebahatika kupata zaidi ya Milioni 38 ili kujenga ofisi katika Kijiji hicho.

Mbunge Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga akiwa Malembuli ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassani kwa kutoa fedha za ujenzi wa Ofisi hiyo akiendelea kuwasihi wanamalembuli kushikamana katika shughuli mbalimbali

Pia ametoa mrejesho kuhusu shughuli zinazofanywa na Serikali katika Kijiji cha Malembuli

Pia Mhe. Sanga amesema Serikali inaendelea kufikisha huduma kwa wananchi ikiwemo ukarabati wa Barabara ya Mang’oto-Malembuli mpaka Ibaga ili kurahisha usafiri Pamoja na kupeleka umeme wa REA katika vijiji hivyo ambapo mkandarasi yupo katika vijiji hivyo kutekeleza ahadi ya Serikali kwa wananchi wake.

Diwani Kata ya Mang’oto Mhe. Osmundi Idawa ameishukuru Serikali kwa ujenzi wa Ofisi ya kisasa katika kijiji cha Malembuli

“Ilikuwa ni kama ndoto kwetu hapa kijijini kujengewa ofisi ya kisasa kama hii, nawashukuru sana lakini pia wananchi kwa kujitoa kwenu kuhakikisha mnapata hati miliki za ardhi zenu hongereni sana”.

Kwa upande wake Mtendaji wa Kijiji cha Malembuli amesema MKURABITA imetoa fedha zaidi ya Milioni 38 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi hiyo huku nguvu za wananchi ikiwa ni Milioni

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.