• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HATIMILIKI ZA KIMILA

Tarehe Iliyowekwa: April 25th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amewataka wananchi wanaomiliki hatimiliki za ardhi kutumia kupata fedha badala ya kukaa nazo kama mapambo.

Akizungumza na Viongozi wa makujwaa ya ardhi ya Vijiji kutoka Kata ya Ipepo na Lupalilo ambapo Mradi wa umiliki ardhi awamu ya pili unatekelezwa chini ya usimamizi wa mradi wa MIICO amewasihi wananchi kuona hiyo kama fursa ya kuwaingizia kipato.

Mh. Sweda amesema ardhi yenye hatimiliki wakati wowote inaweza kuwaingizia kipato kwa kupata mkopo kwente Taasisi mbalimbali za kifedha.

Akiwa kwenye kikao cha wadau wa masuala ya Ardhi Wilaya ya Makete na Viongozi wa Majukwaa ya ardhi, amewashukuru Viongozi wa mradi wa MIICO na mashirika mengine kwa kuendelea kutoa Elimu ya umuhimu wa kumiliki hati za ardhi kwa wananchi Wilayani Makete.

Gloria Mdindile Afisa Mradi Shirika la MIICO amesema katika utoaji wa elimu kuhusu umiliki wa ardhi wananchi Wilayani Makete wamepata uelewa kuhusu umuhimu wa Hati hususani za kimila.

Gloria ameongeza kuwa Shirika hilo limejikita kutoa Elimu katika mikoa mbalimbali ikiwemo Mkoa wa Njombe Halmashauri ya Wilaya ya Makete na mradi huo unatekelezwa kwenye Kata mbili za Wilaya ya Makete ambapo umekuwa na mafanikio makubwa tangu ulipoanzishwa.

Ibrahim Butala Afisa Ardhi Wilaya ya Makete amesema Halmashauri inampango wa kuendelea kupima ardhi katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ili kusaidia wananchi waweze kumiliki hati.

Pia amesema Halmashauri imepanga kuanza upimaji wa ardhi katika Kata mbalimbali ambazo hazijafikiwa na zoezi la upimaji wa ardhi kwa gharama nafuu ili kusogeza zaidi huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA April 25, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 06, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

    May 24, 2022
  • KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

    May 24, 2022
  • KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

    May 24, 2022
  • KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

    May 24, 2022
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAKETE DC Online TV
  • MAKETE DC Instagram page
  • PLANREP
  • MAKETE DC Facebook page
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • BEMIS
  • HIMS
  • FFARS

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.