• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA FEDHA, MIPANGO NA UTAWALA YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: August 19th, 2023

KAMATI YA FEDHA, MIPANGO NA UTAWALA YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI WILAYANI MAKE

Kamati ya Fedha, Mipango na Utawala imefanya ukaguzi wa miradi mbali mbali katika Halmashauri ya wilaya ya Makete ikiwa ni kuhakikisha matumizi ya fedha yanaendana na uhalisia wa miradi husika.

Akizungumza baada ya kutembelea miradi hiyo, Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makate Mh. Hawa Kader, amepongeza shughuli zote za uendelezaji wa miradi hiyo ya elimu licha kuwepo kwa changamoto mbalimbali za upatikanaji wa malighafi kutoka changamoto ya Jeografia ya eneo husika.

Aidha, Mh. Kader ameongeza kuwa miradi hiyo inapaswa kuisha kwa wakati ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha wananchi kwenye baadhi ya shughuli ambazo zinatakiwa kutatuliwa kwa haraka.

Nao baadhi ya wajumbe wa Kamati hiyo ya Fedha, Mipango na Utawala wameoneshwa kutoridhishwa na kasi ya ujenzi jengo la makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kutokana na mkandarasi huyo kutoendana na kasi inayotakiwa licha ya kulipwa pesa zote za awamu ya kwanza.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa halmasahuri ya Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe amesema kuwa wameshamwandikia barua ya onyo mkandarasi huyo, na kwamba hadi sasa hawaoni kama amebadirika na kuomba kuchukua hatua nyingine Zaidi za kisheria ili kuhakikisha jengo hilo linakamalika kwa wakati.

Ikumbukwe kuwa, Kamati ya Fedha,Mipango na Utawala imekagua miradi mbalimbali katika kata nne za  Iniho, Ipelele, Kinyika na Matamba, ambapo kumekuwa na ujenzi wa vyumba vya madarasa, mabweni ya wanafunzi, nyumba za walimu mbili kwa moja, ujenzi wa vyoo vya wanafunzi, ujenzi wa jengo la makao makuu ya H/W Makete pamoja na nyumba ya Mkurugenzi mtendaji wa H/W Makete.

Imeandaliwa na Kitengo cha mawasiliano serikalini.

Halmashauri ya wilaya ya Makete.





Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.