• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA FEDHA YAPONGEZA UJENZI KITUO CHA AFYA LUPALILO

Tarehe Iliyowekwa: August 16th, 2022

Kamati ya fedha Wilaya ya Makete ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Hawa Kader ikiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali Wilayani Makete imeipongeza kamati ya ujenzi Kituo cha Afya Lupalilo kwa usimamizi mzuri wa Kituo hicho.

Viongozi hao wametoa pongezi hizo wakiwa katika ukaguzi huo pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete ndg. William Makufwe na wakuu wa idara wametembelea ujenzi wa majengo mbalimbali ikiwemo jengo la uzazi, upasuaji na majengo mengine kwa kutumia fedha za awamu ya pili zilizotolewa na Serikali kiasi cha shilingi milioni 250.

Mkurugenzi wa Halmashauri (W) Makete ndg. William Makufwe amesema kasi ya ujenzi katika kituo hicho cha Afya Lupalilo inaridhisha ukilinganisha na maeneo mengine kama Bulongwa ambako Serikali ilitoa fedha kwa wakati mmoja lakini kasi ya ujenzi imetofautiana.

“Kwa kweli kamati zote zinazosimamia ujenzi hapa Lupalilo zinafanya kazi vizuri sana, hapa walipata fedha pamoja na wale wa Bulongwa lakini hawa wako vizuri katika usimamizi na ufuatiliaji lakini wenzao Bulongwa bado wapo kwenye msingi”

Akieleza kuhusu ujenzi huo Mkuu wa idara ya ujenzi ndg. Emily Maganga amesema mradi huo kwa sasa umefikia hatua ya lenta na unaweza kukamilika mwisho wa mwezi huu.

Kamati hiyo ikiongozwa na Makamu mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Hawa Kader wamepongeza uongozi wa Kata ya Lupalilo, kamati za ujenzi na Ofisi ya Mkurugenzi kwa usimamizi wa karibu katika mradi huo huku wakieleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo hicho.

Kituo cha Afya Lupalilo awali kilipokea fedha kiasi cha shilingi milioni 250 na sasa Serikali imeongeza fedha Milioni 250 na kufikia jumla ya Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kisasa kitakachohudumia wananchi wa vijiji vitano ambavyo ni Lupalilo, Mago, Ilevelo, Kisinga na Ugabwa.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.