• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA CCM, MKOA WA NJOMBE YAKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE.

Tarehe Iliyowekwa: December 13th, 2023

Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, Mkoa wa Njombe, leo Desemba 13, 2023, imetembelea na kukagua ujenzi wa Kituo cha Afya Mbalatse, kilichojengwa katika Kata ya Mbalatse, Wilayani Makete, ikiwa ni kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, 2020-2025, katika kuwafikishia wananchi huduma za Afya.

Akizungumza, Kaimu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Njombe, ambaye pia ni Katibu mwenezi wa CCM, Mkoa huo, Ndg. Josaya John Luoga, ameomba ujenzi huo ukamilike, mapema ili Kituo hicho kianze kutoa huduma Kwa wananchi, ambao wamekuwa wakitembea zaidi ya Kilomita 80 kufuata huduma hiyo muhimu ya Afya.

"Niwapongeze sana wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kupitia Kwa Mkurugenzi Mtendaji, Ndg. William M Makufwe, Kwa kuamua kujenga kituo Cha Afya Mbalatse, kwakuwa ni utekelezaji wa Ilani, katika kuwafikishia wananchi huduma za Afya, kutokana na wananchi hawa kutembea umbali mrefu kufuata huduma za Afya" Alisema Ndg. Luoga

Kwa Upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Dkt. Ligobert Kalisa, amesema kuwa ndani ya Siku tatu ujenzi huo utakuwa umekamilika kwakuwa kilichobaki ni uwekaji wa baadhi ya milango, pamoja na kuweka vifaa tiba ambavyo tayari baadhi vimeshafika.

Ikumbukwe kuwa, Kituo hicho cha Afya Mbalatse, kimejengwa kwa Fedha za Mapato ya Ndani, ambapo kiasi cha shilingi Milioni 443, zimetengwa kukamilisha ujenzi wa Kituo hicho.

Aidha, kamati hiyo pia, imekagua na kutembela Miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Shule ya Sekondari Mang'oto, iliyopo katika kata ya Mang'oto, Wilayani Makete, ambayo ni Ujenzi wa Bweni la Wasichana ambalo limegharimu shilingi milioni 132,299,540.00, ujenzi wa Maabara ambao umegharimu shilingi milioni 50,000,000.0, Ujenzi wa nyumba mbili za walimu, za 2 Kwa 1, ambazo zimegharimu shilingi milioni 130,446,428.00 pamoja na Bwalo la chakula ambalo limegharimu shilingi milioni 240,901,286.53.

Sambamba na miradi hiyo, pia Kamati hiyo, Imakagua Ujenzi wa Maabara katika shule ya sekondari Ipepo, iliyopo katika katika kata ya Ipepo, pia imkagua Ujenzi wa Vyumba viwilia vya Madarasa, Ofisi moja, pamoja na matundu sita ya vyoo katika shule ya Msingi Tandala, ilipo katika kata ya Tandala, zote zikiwa ndani ya Wilaya ya Makete.

Imendaliwa na: 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.