• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA YA CCM, WILAYA YA MAKETE, YAMPONGEZA DED MAKUFWE KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

Tarehe Iliyowekwa: December 19th, 2023

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, Wilaya ya Makete, leo Desemba 19, 2023, imeendelea na Ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho, katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ambapo wamepongeza juhudi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Ndg. William M. Makufwe kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo.

Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Makete, ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Wilaya wa Chama hicho, Ndg. Clemence Mwamwite Ngajilo, mara baada kukamilisha ukaguzi wa Utekelezaji wa Ilani katika Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Makete, iliyopo katika kijiji Cha Mbela, Kata Mlondwe, wilayani Makete, Shule ya Sekondari Matamba iliyopo Kata ya Matamba, Shule ya Sekondari Kinyika, pamoja na Shule ya Msingi Iwale, iyopo katika Kijiji Cha Ndapo, zote zikiwepo katika Kata ya Kinyika.

"nikupongeze Mkurugenzi Mtendaji kwa kazi kubwa ya Usimamizi wa miradi ya maendeleo, inayofanyika katika Halmashauri yako, kwakweli mnafanya kazi kubwa sana ya kukisemea Chama kupitia miradi hii, kwakuwa wananchi wataka Maendeleo na vinginevyo" Alisema Ndg. Ngajilo.

Aidha, Ndg. Ngajilo amewataka walimu pamoja na wananchi kwa pamoja kuilinda na kuitunza miundombinu hiyo, kwakuwa imetumia Fedha nyingi sana hadi kukamilika kwake, baada ya kugundua kuwepo Kwa uharibifu katika baadhi ya majengo kwenye Shule ambazo kamati hiyo imetembelea hii leo. 

Naye , Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amesema kuwa, iliwabidi kuongeza Fedha kwenye baadhi ya miradi Ili iweze kukamilika kwa wakati.

"hapa Mlondwe, ilibidi tuongeze Fedha kiasi cha Shilingi milioni 200 za kitanzania, ili Shule hii iweze kukamilika, hata hivyo wenzetu wa TASAF watatujengea Bweni pamoja na Nyumba ya walimu 2 Kwa 1" Alisema Ndg. Makufwe.

 Hata hivyo, Kamati hiyo ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), wilayani Makete, ikiwa katika ziara hiyo imefanya mkutano wa hadhara katika kata ya Kinyika, Ili kusikiliza na kutatua kero za wananchi ambazo wamekuwa wakikutana na nazo katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku hususani kwenye shughuli za kiuchumi, kama vile Changamoto ya Umeme, barabara pamoja na kukosekana kwa soko la mazao ya nafaka.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.












Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.