• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MAKETE, YAKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: December 18th, 2023

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, Wilaya ya Makete, imetembelea na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Chama katika Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ambapo imewataka mafundi wanatekeleza miradi mbalimbali ya Serikali kukamilisha ndani mda uliopangwa Ili ianze kuwanufaisha wananchi wa maeneo husika.

Hayo, yamesemwa leo Desemba 18, 2023, na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Makete, Ndg. Clemence Mwawite Ngajilo, akiwa pamoja na Kamati ya Siasa ya chama hicho, wakati wametembelea na kukagua miradi mbalimbali katika kata za Bulongwa, Kipagalo na Iniho.

"Miradi lazima iwe na tija Kwa jamii, hivyo kukamilika kwake haraka, kunachochea Maendeleo ikiwa ni pamoja na wananchi kuwa na Imani na serikali ya Chama Cha Mapinduzi" Alisema Ndg. Ngajilo.

Aidha ndg. Ngajilo Amewataka viongozi wa kata pamoja na vijiji husika inakotekelezwa miradi hiyo, kuhakikisha kuwa wanaungana pamoja katika kusimamia utekelezaji wa Ilani, ikiwa ni pamoja na kuilinda ili iweze Kudumu kwa muda mrefu.

Nae, Mwenyekiti wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, Wilaya ya Makete Ndg.Tamson Mwinama Mbilinyi, amewataka vijana wa maeneo yenye Miradi, kuchangamkia fursa mbalimbali ambazo zinajitokeza kupitia miradi hiyo ili waweze kujipatia kipato. 

Kwa Upande wake, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Bi. Jackline Mrosso, amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika kutekeleza miradi mbalimbali Wilayani humo, ili waweze kunufaika nayo, ikiwa ni pamoja na kuifuatilia kwa ukaribu. 

Ikumbukwe kuwa Kamati ya Siasa, CCM, Leo Desemba 18, 2023, imekagua utekelezaji wa Ilani katika Kata tatu za Bulongwa, Iniho na Kipagalo, ambapo miradi iliyotembelewa ni pamoja na Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Tupevilwe, iliyopo Kata ya Bulongwa, Eneo la Ujenzi wa Kituo cha Afya Kata ya Kipagalo, na Upanuzi wa Miundombinu ya Elimu, katika Shule ya Sekondari Mwakavuta, iliyopo Kata ya Iniho.

Imeandaliwa na :

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.












Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.