• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KATA 11 WILAYANI MAKETE ZANUIA KUANZISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA KITULO

Tarehe Iliyowekwa: December 8th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amepongeza uwepo wa wazo la kuanzishwa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kitulo, ikiwa ni njia mojawapo ya kuchochea maendeleo kwa wananchi wa ukanda huo

Ndg. Makufwe, amesema hayo leo, Desemba 8,2023, kwenye kikao kilichoitishwa na wadau wa mchakato huo, ambacho kimefanyika katika kata ya Matamba, ambapo amewashauri kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na serikali katika mchakato wa kuanzishwa kwa Halmashauri, hivyo ili waweze kukamilisha kwa azma hiyo ya wananchi wa kusini mwa Wilaya ya Makete.

“kuna vigezo ambavyo vimewekwa na serikali, kama vile Idadi ya watu, Uwezo wa kujitegemea kibajeti, na Eneo la kijiografia, na kwamba kamati za kata zinatakiwa kuwasilisha maoni yake na kujadiliwa na CMT, ikiwa ni pamoja na ushirikishwaji wa wananchi wa maeneo husika” Alisema Makufwe.

Aidha, Ndg. William M. Makufwe, amesema kuwa hatakuwa kikwazo katika kufanikisha jambo hilo, ambalo endapo litafanikiwa kata za Matamba, Kitulo, Kinyika, Mlondwe, Ipelele, Iniho, Ikuwo, Mfumbi, Kigala, Itundu, na Kigulu zitaenda kuunda halmashauri ya mpya ya Wilaya ya Kituto.

Sambamba na hayo, Ndg. Makufwe, amewataka wanamakete na watanzania wote kwa ujumla, kuchangamkia fursa ya Kilimo cha Ngano, kwakuwa mbegu za zao hilo zimeshatolewa bure na serikali, na kwamba Halmashauri imeanza mchakato wa kutafuta uwekezaji wa kiwanda cha kusindikiza zao hilo.

Hata hivyo, Ndg. William M. Makufwe, baada ya kikao hicho, amekagua ujenzi wa madarasa mawili na ofisi, katika shule ya msingi Iwale, iliyopo kata ya Kinyika, Wilayani Makete, ambapo amewataka mafundi kukamilisha ujenzi huo mapema, ili madarasa hayo yaanze kutumika Januari 8, 2024.

Ikumbukwe kuwa, madarasa hayo yanajengwa kupitia fedha za mapato ya ndani, ambapo kiasi cha shilingi milioni 150, zimetolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ili kuhakikisha watoto wa kijiji cha Iwale wanasoma katika mazingira bora.

Imeandaliwa na: 

Kitengo cha Mawasilino serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.