• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KATA YA IKUWO

Tarehe Iliyowekwa: June 7th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda ameagiza gari la Kituo cha Afya Ikuwo lirudishwe Kituoni hapo mapema iwezekanavyo kwa lengo la kutoa huduma kwa wananachi.

Ametoa agizo hilo kwa Mganga Mkuu Wilaya ya Makete baada ya kufika Kata ya Ikuwo na kukutana na malalamiko ya wananchi wa Ikuwo kupata changamoto kubwa ya usafiri pindi wanapopatwa na dharura ya wagonjwa.

Imeelezwa kuwa gari hiyo ipo gereji kwa ajili matengenezo, wananchi wa Kata ya Ikuwo na Kigala wamekuwa wakitegemea gari hilo kupata huduma ya kusafirisha wagonjwa kwa gharama ndogo kuwasafirisha kwenda Hospitali ya Wilaya.

"Tunalazimika kukodisha magari ya watu kwa gharama ya shilingi laki 3 hadi laki 4 wakati gari la Serikali ilikuwa tunanunua mafuta kwa shilingi elfu 60 tu ambapo tulikuwa na uwezo wa kumudu gharama hizo tofauti na sasa"

Awali Diwani Kata ya Ikuwo Mh. Gwerino Mwasanga amesema, "Mh. Mkuu wa Wilaya tulikuwa na gari la kituo cha Afya hapa Ikuwo, lakini ilipoharibika ikachukuliwa kwenda Wilayani zaidi ya miaka 3 Gari halijarudi tunaomba utusaidie"

Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. Aloyce Mwalukisa kutoka Idara ya Mipango na Fedha amesema wameyapokea maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na yatafanyiwa kazi mapema

"Ni kweli gari ilikuwa na changamoto ya tairi, hilo tumeshalishughulikia na sasa gari ipo gereji kwa ajili ya marekebisho madogomadogo yakikamilika gari itafika hapa".

Mpaka sasa Mkuu wa Wilaya ya Makete ametembelea vijiji 73 kwa lengo la kusikiliza, kutatua na kuchukua changamoto zinazowakabili wananchi kila Kijiji.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.