• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE AAGIZA KUPELEKWA FEDHA ZA MAPATO HALISI YA NDANI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Tarehe Iliyowekwa: May 24th, 2024

Katibu Tawala wa mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omari, ameziagiza Halmashauri zote mkoani humo, kuhakikisha kuwa, zinapeleka fedha za mapato halisi ya ndani kwenye miradi ya maendeleo, kabla ya mwaka wa fedha wa 2023/2024 kukamilika.

Bi. Judica Omari, amesema hayo leo Mei 24, 2024 kwenye kikao cha Tathmini ya Ukusanyaji wa Mapato Kimkoa, ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Bomani uliopo katika makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

“Nimeridhishwa na ukusanyaji wa mapato Halisi na Lindwa kwa kila Halmashauri, sambamba na mwenendo wa ukusanyaji wa mapato, lakini hakikisheni Mapato halisi ya ndani ambayo ni asilimia 20/40/60 yanapelekwa kwenye miradi ya Maendeleo” alisema Bi. Judica.

Aidha, Bi. Judica Omari, amesema kuwa, mapato lindwa ambayo yanakusanywa na vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali za Wilaya, yatumike  vizuri ikiwa ni pamoja na kupelekwa kwenye maeneo yaliyokusudiwa kama vile kununua Dawa, Vifaa tiba pamoja na Stahiki za watumishi.

Sambaba na hayo, Katibu tawala huyo wa mkoa wa Njombe, amewataka Wakuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, kujiandaa kuanza kutoa mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalumu ya Wanawake, Vijana na Walemavu, kwakuwa walikuwa na muda mrefu wa kukusanya madeni pamoja na kuweka mpango kazi wa utekelezaji wake.

Hata hivyo, Bi. Judica Omari, ameziagiza Halmashauri hizo za mkoa wa Njombe, kuhakikisha kuwa miradi vipolo iliyoanzishwa na wananchi, Serikali Kuu na Wadau wa Maendeleo  inakamilika haraka iwezekavyo ili iweze kutoa huduma kwa jamii husika.

Ikumbukwe kuwa, kikao hicho cha Tathmini kililenga; kupokea taarifa ya Mapato hadi kufikia Aprili 30,2024, kubainisha vyanzo vinavyofanya vizuri na vibaya katika ukusanyaji wa mapato kuishia Aprili 30,2024, Kupokea taarifa za miradi ya maendeleo kuishia Aprili 30,2024, Hali ya Makusanyo kupitia mfumo wa TAUSI pamoja na Mikopo ya vikundi iliyokopeshwa kabla ya tamko la kusitishwa utoaji wa mikopo iliyotolewa Aprili 2023, marejesho yaliyofanyika na kiasi cha mikopo ambayo haijarejeshwa.

 

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasilino ya Serikali,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.