• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kijiji kinachokua kwa Kasi Makete

Tarehe Iliyowekwa: September 15th, 2022

Kijiji cha Ujuni na Nkenja ni moja ya vijiji ambavyo vinakua kwa kasi kulingana na uzalishaji mkubwa wa zao la kibiashara (Viazi mviringo) pamoja na kuwepo mwingiliano mkubwa wa idadi ya watu

Kijiji cha Ujuni na Nkenja ni vijiji viwili tu vinavyounda Kata ya Kitulo ambayo pia inapatikana Hifadhi ya Taifa ya Kitulo na Shamba la kuzalishia Mitamba (Ng’ombe) na maziwa linalomilikiwa na Serikali.

Ujuni ni jina la Kijiji ambalo limekuwa likisikika mara kwa mara masikioni mwa watu kulingana na shughuli kubwa inayofanyika kijijini hapo ya Kilimo cha Viazi.

Kijiji cha Ujuni kina vitongoji saba (7) ambavyo ni Mang’oto, Bomani, Kawetele, Kilambo, Utatugwa, Ikiligano na Kitulo Shambani huku Kijiji cha Nkenja kikiwa na Vitongoji vinne (4) ambavyo ni Mpulo, Msumbiji, Usalama na Igawa.

Katika Vitongoji hivyo vyote wananchi wake kama wanaonekana kushindana katika kufanya kilimo cha uzalishaji wenye tija na baada ya mavuno wananchi wake hujenga nyumba za kisasa karibu kila mwaka na kuonekana vijiji vya mfano wa kuigwa katika ujenzi wa nyumba za kisasa Wilayani Makete.

Nkenja ni Kijiji kilichogawanywa kutoka Kijiji mama cha Ujuni lakini wananchi wa vijiji hivyo wanaishi kwa kugawiana fursa za Kilimo kupitia mashamba makubwa wanayomiliki ili kukuza uchumi wa kila mmoja.

Zao la Viazi limewafanya wananchi wa Kata ya Ujuni kuwekeza kwa wingi na wananchi kutoka maeneo mengine ya Wilaya nan je ya Wilaya kukimbilia ujuni kutafuta ardhi ya kilimo kwa kukodi mashamba na kukunua ardhi.

Ofisi ya Kata kupitia Diwani Mhe. Landani Mahenge na Mtendaji wa Kata Bathromeo Makome wamekuwa na mkakati wa kuwahamasisha wananchi wao kuhakikisha wanalima kwa bidi ili waweze kusomesha Watoto, kula vizuri, kuvaa vizuri, kujenga nyumba za Kisasa n ahata kumiliki vitu vya thamani.

Ni vigumu kwa maendeleo ya kiuchumi kutokea bila ya kukua kwa uchumi, ni lazima uchumi uongezeke kwanza ndipo maendeleo ya kiuchumi yapatikane. Lakini, kukua kwa uchumi siyo lazima kulete maendeleo.

Uchumi unaweza kukua ila usiambatane na maendeleo ya kiuchumi.

Kukua kwa uchumi kunahusishwa zaidi na ongezeko la Pato la mtu mmoja mmoja au la Taifa (GDP) au kipimo cha uzalishaji mali, bidhaa na huduma katika nchi nzima kwa kila mwaka.

Maendeleo ya kiuchumi yana uhusiano na ubora wa maisha ya watu katika nyanja mbalimbali kama huduma za afya na kupungua kwa maradhi, elimu na kiwango cha ujinga na umasikini.

Kupitia hilo Serikali imejenga Kituo cha Afya cha Kisasa kwa Milioni 500 na kupeleka watumishi kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma za Afya katika eneo jirani na makazi yao.

Pia Serikali kupitia TANROAD imejenga Kipande cha Lami cha zaidi ya Kilomita 2 na inaendelea na ujenzi wa kipande kingine cha Lami katika Kijiji cha Ujuni Kilomita 2.5 kutoka Kitongoji cha Ikiligano kuelekea Kitongoji cha Kitulo shambani, yote haya yanafanywa na Serikali awamu ya 6 chini ya uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

KILIMO NI BIASHARA, KARIBU TUWEKEZE

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.