• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

Tarehe Iliyowekwa: May 24th, 2022

Kamati ya Sensa ngazi ya Wilaya ya Makete imefanya kikao leo tarehe 24 Mei, 2022 ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda kwa lengo la kujadili taarifa mbalimbali za maandalizi ya Sensa itakayofanyika tarehe 23 Agosti 2022.

Katika kikao hicho Mratibu wa Sensa Wilaya ya Makete Ndg. Aloyce Mwalukisa amewasilisha taarifa inayoonesha namna zoezi hilo litakavyofanyika, ambapo jumla ya maeneo 442 yametengwa kutoka kata 23 zilizopo Wilaya ya Makete katika muundo wa vitongoji kwa ajili ya kuhesabia watu wakati wa zoezi hilo.

Ameongeza kuwa zoezi la Sensa litahusisha uhesabuji wa watu wote watakaokuwa wamelala mahali husika kuamkia siku ya tarehe 23 Agosti 2022 ambapo taarifa zao muhimu zitakusanywa.

Katibu wa Sensa amesema “zoezi la Sensa kwa mwaka 2022 ni tofauti na Sensa iliyofanyika miaka ya nyuma kwa kuwa mwaka huu zoezi hili litajumuisha uhesabuji wa watu na makazi”.

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda ameipongeza Kamati ya Sensa Wilaya kwa maandalizi na kuongeza kuwa Serikali ya awamu ya sita imedhamiria kuboresha miundombinu ya Afya, Elimu, Barabara na Maji.

“Kila baada ya miaka 10 zoezi hili hufanyika na mwaka huu Serikali imeongeza jambo la msingi zaidi kwa kuhesabu watu na makazi tofauti na Sensa zilizopita, hivyo Kamati hii itahakikisha usimamizi wa zoezi hili unafanyika kwa umakini kama ambavyo Serikali inatarajia zoezi hili lifanyike katika upatikanaji wa taarifa muhimu ili kufanya maamuzi katika sekta mbalimbali”.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mh. Francis Chaula, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe, Katibu Tawala Wilaya ya Makete Bi. Grace Mgeni, Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya, wajumbe na wadau mbalimbali watakaoshiriki katika zoezi la Sensa.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.