• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIKAO KAZI CHA RUWASA

Tarehe Iliyowekwa: May 28th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda amezitaka Jumuiya za Wakala wa Maji na usafi wa mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi wanapata maji kwa uhakika.

Ameyasema hayo Mei 27, 2022 wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha mafunzo ya Kamati tendaji za vyombo vya watoa huduma ya Maji ngazi ya jamii kwenye ukumbi wa Mamlaka ya mji mdogo Iwawa Makete Mjini.

“kumekuwa na changamoto ya maji ya uhakika kwa wananchi wa Makete, pamoja na kwamba tuna vyanzo vingi vya maji kwenye Wilaya yetu…hakikisheni tunatekeleza adhma ya Serikali ya awamu ya sita (6) kumtua mama ndoo kichwani”.

“Kikao kazi hiki kiwasaidie ninyi kusogeza huduma kwa wananchi na ikiwezekana fikisheni maji nyumbani kwa mteja, Serikali inatoa fedha nyingi za miradi ya maji Wilayani hap ana msimamie maji yasipotee hovyo”. Aliongeza Mh. Sweda

Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Makete Ndg. William Makufwe amesema jumuiya hizo zinapaswa kufungua akaunti za benki mapema ili kuwa na kumbukumbu sahihi za mapato na matumizi ya fedha za Jumuiya na mazingira rafiki ya uhifadhi wa mapato.

Pia mkurugenzi huyo amesema RUWASA ianze utaratibu wa kuweka Luku za maji za kulipa kabla ya matumizi na kuwazoesha wateja ili kulinda raslimali ya maji ambayo imekuwa ikipotea bila kujua.

“Angalieni njia rahisi ya kuwazoesha wateja wetu waanze kununua maji kabla ya matumizi kama ambavyo Tanesco wanafanya, hii itasaidia kuzuia upotevu wa maji na wateja wetu waanze kuzoea mabadiliko hayo”.

Meneja wa RUWASA Wilaya ya Makete mhandisi Innocent Lyamuya amesema lengo la kikao kazi hicho kwa viongozi wa Jumuiya za watumia maji ni kuwajengea uwezo wa kuhakikisha huduma zinapatikana kwa haraka kwa mwananchi na kudhibiti upotevu wa mapato ya Jumuiya

Kikao kazi hicho cha mafunzo ya kamati tendaji za vyombo vya watoa huduma ya Maji ngazi ya jamii kimefanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 27-28, Mei 2022.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.