• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KITUO CHA PAMOJA CHA KUUZIA MBAO, MBIONI KUANZISHWA WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: November 24th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Makete, inaendelea na Ujenzi wa kituo cha Soko la mbao la pamoja, katika Kata ya Mang’oto, litakalogharimu kiasi cha shilingi milioni 80, kwa lengo la kuwarahishia wafanyabiashara kupata bidhaa hiyo kiurahisi, pamoja na ukusanyaji wa mapato ya serikali.

Akizungumza leo Novemba 24,2023, katika kikao cha wadau wa mazao ya Miti, kilichofanyika katika kata Tandala, Wilayani Makete, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa H/W ya Makete, Bi. Jackline Mrosso, amesema kuwa lengo la ujenzi wa soko hilo ni kutaka kuwa na soko la pamoja ambalo litakuwa na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu wa upatikanaji wa vibali kamavile TP.

”Kumekuwa na maeneo mengi ya kuuzia Mbao, na kupelekea changamoto za ukusanyaji wa mapato ya serikali, Usumbufu katika kupata vibali vya usafirishaji wa zao hilo, hivyo basi uwepo eneo hilo litarahisiha uuzaji na ununuaji wa bidhaa hiyo” Alisema Bi.Jackline Mrosso.

Sambamba na hayo, Bi. Mrosso, amesema kuwa kikao hicho kimekuwa na lengo kubwa la kuweka makubaliano baina ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete, namna bora ambayo wanaweza kufanya biashara katika mazuri pamoja na urahihishaji wa upatikanaji wa bidha.

Kwa upande wao, wafanyabishara wa Mbao, Ndg. Henrick Sanga, na Ndg. Petro Sanga, wameishukuru Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kwa kuweka soko la pamoja kwakuwa litawarahishia katika kupata bidhaa, hata hivyo wameomba kuongezwa kwa vituo vingine zaidi ili kuwe na upana zaidi katika biashara hiyo muhimu.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.