• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAADHIMISHO YA MUUNGANO

Tarehe Iliyowekwa: April 26th, 2022

 Tarehe 26 Aprili 2022 Wilaya ya Makete imefanya maadhimisho ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Makete Pamoja na  kuwaona wagonjwa waliolazwa ili kuwapa zawadi mbalimbali kama sehemu ya kuwafariji wagonjwa hao.

Maadhimisho hayo yalianza na maandamano kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Makete kuelekea Hospitali ya Wilaya yakihusisha watumishi wa Serikali,wananchi na wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari zilizopo Kata ya Iwawa pamoja chuo cha Ufundi stadi VETA Makete.

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo ndg. William Makufwe ambaye ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya kwa niaba Mkuu wa Wilaya Mh. Juma Sweda akizungumza kwenye maadhimisho hayo amesema, wanaMakete na Watanzania wanapaswa kuenzi Muungano huku akiwasihi kuendelea kufanya kazi kwa bidii.

“Katika maadhimisho haya tumetoa zawadi kwa wagonjwa waliolazwa kama sehemu ndogo ya faraja kwao, kikubwa kuliko yote ni kuendelea kuenzi mafanikio na tunu ya Muungano kwa kuwa mambo mengi yamefanyika

Tunaishukuru Serikali kwa kuendelea kudumisha Muungano huu, tuendelee kufanya kazi kwa bidii na kuendelea kushirikiana na Serikali katika kufanikisha mipango mbalimbali ya kuleta maendeleo katika nchi” aliongeza Mkurugenzi huyo kwa kusema

Baadhi ya Wagonjwa,wanawake na wajawazito waliojifungua watoto wameushukuru Uongozi wa Wilaya ya Makete kwa kuwapa zawadi kupitia siku hii muhimu kwa Taifa huku wakimpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya kuongeza Vituo vya kutolea huduma za Afya katika Wilaya ya Makete na kuboresha upatikanaji wa huduma muhimu katika Hospitali hiyo ikiwemo Dawa.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Njombe Ndg. Jaseri Mwamwala aliungana na wanamakete kufanya usafi na kugawa zawadi kwa wagonjwa Hospitalini hapo, ambapo amesema watanzania wanasherekea Muungano sambamba na Maendeleo yanayoletwa na Serikali katika wilaya ya Makete na Mkoa wa Njombe kwa ujumla

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA April 25, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 06, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

    May 24, 2022
  • KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

    May 24, 2022
  • KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

    May 24, 2022
  • KIKAO CHA KAMATI YA SENSA

    May 24, 2022
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAKETE DC Online TV
  • MAKETE DC Instagram page
  • PLANREP
  • MAKETE DC Facebook page
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • BEMIS
  • HIMS
  • FFARS

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.