• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAFUNDI FUATENI VIPIMO UJENZI WA MADARASA NA KUHAKIKISHA UBORA WA MAJENGO-DC SWEDA

Tarehe Iliyowekwa: November 1st, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amemuagiza mkandarasi anayejenga darasa shule ya Msingi Missiwa kufuata vipimo vya BOQ kama inavyotakiwa

Ametoa agizo hilo tarehe 31 Octoba, 2022 baada ya kufika shuleni hapo akiambatana na Mhandishi wa ujenzi kutoka Halmashauri kwa lengo la kukagua ujenzi wa madarasa mbalimbali yanayojengwa kwa fedha za pochi la Mama Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ambapo shule ya Msingi Missiwa imepokea Milioni 20 kwa ajili ya kujenga darasa moja.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO

Mhe. Sweda amebaini upungufu wa vipimo kwenye ujenzi wa darasa hilo linalojengwa na mkandarasi Peter Mwangira, amemtaka kufuata vipimo vilivyopo kwenye mchoro wa jengo kama ilivyo ujenzi unaofanyika madarasa mengine.

“Mkandarasi tumepima hapa pamoja na wewe tumebaini upungufu wa vipimo, sasa bomoa hapa ongeza vipimo kama ramani inavyoelekeza kwa mujibu wa utaratibu vinginevyo hatuwezi kufanya malipo wakati kazi unayofanya sio yenyewe”.

Mkandarasi huyo amekiri makosa yaliyojitokeza na kukubali kubomoa ili kuongeza sehemu iliyopungua urefu wa jengo.

Pia Mkuu wa Wilaya hiyo ameagiza kununuliwa vifaa vyote vya ujenzi ili kupunguza gharama za usafiri na kurahisisha usafirishaji kabla msimu wa mvua kuanza.

Wakati huohuo amewaagiza wasimamizi wote wa miradi hiyo inayojengwa kwenye shule za Msingi na Sekondari Wilaya ya Makete kuhakikisha inakamilika tarehe 25 mwezi Novemba 2022.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.