• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAJENGO YAKAMILIKE IFIKAPO NOVEMBA 30, 2023 - DED MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: November 15th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Ndg. William M. Makufwe, amemuagiza mkuu wa Shule ya Sekondari Makete,iliyopo kijiji cha Mbela, Kata ya Mlondwe, kuhakikisha ujenzi wa majengo yote ambayo yameshalipiwa fedha, yanakamilika ifikapo Novemba 30, 2023.

Ndg. William M. Makufwe amesema hayo leo November 15, 2023, wakati ametembelea na kukagua, ujenzi wa Maabara, Maktaba, Nyumba ya watumishi mbili kwa moja, Jengo la utawala na TEHAMA, katika shule ya Sekondari Makete, yanayojengwa kwa kutumia mapato ya ndani.

“tarehe 2/12/2023 nitakuja kuangalia kama mmekamilisha miradi yote hii ambayo inafanyika hapa, ili ifikapo mwezi wa kwanza watoto wanaoanza kidato cha kwanza, waanze kuyatumia majengo haya, hivyo basi sitegemei kuona ucheleweshwaji, ikiwa fedha zote mmeshawekewa kwenye akaunti zenu za shule” Alisema Ndg. Makufwe.

Aidha, Ndg. Makufwe, ameonesha kutoridhishwa na ujenzi wa baadhi ya mafundi, ambao wamekuwa wakijenga majengo ya Maktaba na Maabara, na kuwataka kuzingatia uweledi na uzoefu katika kazi, ili majengo yawe na mwonekano mzuri na yenye kuzingatia viwango vya serikali.

Sambamba na hayo, Ndg, William M. Makufwe, ameagiza kuanza kwa ujenzi wa Bweni la wanafunzi haraka iwezekanavyo, ili ifikapo mwezi wa Kwanza wanafunzi wote wakae shuleni, ikiwa ni njia mojawapo ya kuwakinga watoto wakike na changamoto za unyanyasaji.

Ikumbukwe kuwa, ukamilishaji wa shule ya Sekondari Makete, umetumia mapato ya ndani, ambapo kiasi cha shilingi milioni 146,000,000.00 kimetolewa ili kukamimisha ujenzi huo wa, Maabara ya Fizikia, Baolojia, Kemia, matundu 10 ya vyoo, Jengo la Maktaba, Jengo la TEHAMA pamoja na Jengo la Utawala.

Imeandaliwa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.