• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. PHILIP MPANGO AKABIDHI HATI 6881 KWA WANAMAKETE

Tarehe Iliyowekwa: October 27th, 2023


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amepongeza ujenzi wa mradi wa Umeme, wa KKKT, Ijangala uliopo Wilayani Makete, katika kata ya Ukwama kutokana na umuhimu wake katika kupunguza adha ya nishati nchini.

Mhe. Dkt. Mpango, amesema hayo leo October 27, 2023, akiwa katika Viwanja wa Diakonia, Tandala, Wilayani Makete, baada ya kuzindua mradi wa Umeme wa Ijangala, kuwa ujenzi wa mradi huo ni utekelezaji wa Ilani ya CCM, ya mwaka 2020-2025.

Sambamba na hayo, Mhe. Dkt. Mpango, amewataka wanamakete kuhakikisha wanazingatia ulaji wa Lishe bora katika makuzi ya Watoto wadogo, ikiwa ni pamoja na kuwapa Elimu Bora ili waje kuwa wakombozi wa jamii inayowazunguka.

Aidha, Mhe. Mpango, amekemea ukatili wa kijinsia unaoendelea kwenye baadhi ya Maeneo hapa nchini, ambapo amemtaka, kila mtu kuwajibika Kwa Nafasi yake, ili jamii iwe salama, kikiwa ni pamoja na kuwa na kizazi kilichobora Kwa maisha ya baadae.

Aidha, Mhe. Dkt. Mpango, amelishukuru Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania, KKKT, Kwa kuwa mstari wa Mbele katika kuhakikisha wananchi wanapata Huduma Bora, katika Afya na Elimu, Sambamba na hayo, Dkt. Mpango, amekemea uharibifu wa Mazingira ikiwa ni pamoja uchomaji moto miti, Ili kuhakikisha uoto wa asili uliopo unadumu na Wilaya ya Makete inakuwa eneo la uzalishaji Mali.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, ameipa siku Saba Mamlaka ya Usimamizi na Usafiri Ardhini, LATRA, kuhakikisha wanatafuta ufafanuzi wa kuwepo Kwa nauli kubwa kati ya Njombe - Makete.

Kwa Upande wake, Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso, amesema kuwa, Serikali ya Rais Mhe.  Dkt. Samia Suluhu Hassan , imedhamiria kumtua mama Ndoo kichwani, ili wananchi waweze kumudu maisha yao ya Kila Siku, hivyo basi wanamakete endeleeni kuunga mkono juhudi za serikali.

Ikumbukwe kuwa, katika hafla hiyo, Mhe. Dkt. Mpango amekabidhi hati miliki za ardhi 6881 Kwa wanamakete ambao wameshapimiwa maeneo yao kwa matumizi ya kilimo cha ngano, ikiwa ni mwendelezo serikali katika kupanga matumizi bora ya ardhi hapa nchini.

Imeandaliwa na: 

Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete. 














ReplyForward














Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.