• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAKETE DC YAPATA HATI SAFI, KUTOKA KWA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

Tarehe Iliyowekwa: June 18th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omari, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kwa kupewa Hati Safi ya Matumizi ya fedha za miradi, kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

Hayo yamebainishwa leo June 18,2025, wakati wa Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani la Kupokea na Kujadili taarifa ya Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi na Mkuu wa Hesabu za Serikali, mara baada ya baraza hilo kuridhia hoja hizo na zifanyiwe kazi.

“Niwapongeze sana wataalamu,Waheshimiwa Madiwani, na watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kwa kupata Hati Safi, kutokana na ushirikiano wenu mzuri katika ufanyaji kazi, pia niwaombe hizi hoja zilizopo ikiwezekani ziishe kabisa” amesema Bi. Judica Omari.

Aidha, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, amewataka wataalam kutambua namna bora ya kuzitatua hoja hizo ambazo zimekuwa zikijitokeza katika utendaji kazi wa kila siku, ikiwa ni pamoja na kuwa mpango kazi unaotekelezeka.

Naye, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe, Kissa Gwakisa Kasongwa, amewapongeza waheshimiwa madiwani kwa kuitumikia Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa uaminifu, na kuwatakia heri katika Uchaguzi mkuu unaokuja mwishoni mwaka huu wa 2025.

Kwa Upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Ndg. Clemence Mwawite Ngajilo, amewataka waheshimiwa madiwani kuendelea kuisemea vizuri serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutokana na utekelezaji mzuri wa miradi.

Akihitimisha Mkutano huo Maalumu wa Baraza la Madiwani wa Kupokea na Kujadili taarifa ya Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali (CAG), Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Y. Fungo, amewashukuru watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kwa kuwapa ushirikiano mzuri tangu wameingia kama Madiwani katika baraza hilo.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.