• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAKETE YAANZA UWEKEZAJI KWENYE VIWANDA

Tarehe Iliyowekwa: November 4th, 2022

Wanamakete wakaribishwa kuwekeza nyumbani katika ujenzi wa nyumba bora za Kisasa kwa kutumia tofali za mchanga na saruji kwa kuwa miundombinu imeshaandaliwa kwa ajili kupunguza gharama za ujenzi.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe. Hawa Kader, Mkurugenzi Mtendaji William Makufwe, Waheshimiwa Madiwani na wakuu wa Idara na Vitengo walipotembelea Kiwanda cha kutengeneza Tofali Makete Mjini mwanzoni mwa mwezi Noveomba , 2022.

“Niwasihi wanamakete waliopo ndani na nje ya Wilaya tujenge numba za Kisasa kwa kuwa wenzetu walishatoa wazo na limefanyiwa kazi katika kupunguza gharama za uwekezaji na ujenzi katika maeneo yetu hivyo ni fursa muhimu tuitumie kujenga nyumba za kisasa”.

KUTAZAMA VIDEO BONYEZA HAPA

Awali Kaimu Mkuu Idara ya Ujenzi Wilaya ya Makete Bw. Emily Maganga akiwaeleza waheshimiwa Madiwani kuhusu mradi huo amesema Halmashauri imefanikiwa kununua mtambo huo kwa shilingi Milioni 41 kwa lengo la kutengeneza Tofali ambazo zimekuwa zikinunuliwa Makambako au Mbeya jambo ambalo limefanya wananchi wengi wa Makete kushindwa kujenga nyumba za Kisasa.

“Halmashauri imeanzisha mradi huuu kwa ajili ya kupunguza gharama za ujenzi lakini pia kuwasaidia wananchi waweze kujenga nyumba zao kwa gharama nafuu kwa sababu mahitaji mbalimbali sisi tutakuwa tunawaandalia hapa kwa gharama nafuu sana tofauti na hali ilivyo sasa”.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete William Makufwe amesema matamanio ya mradi huo ni kufanya uzalishaji mkubwa wa Tofali ambapo kwa siku wataweza kutengeneza tofali zisizopungua elfu 4 na zitauzwa pia kwa wananchi wenye uhitaji.

“Waheshimiwa Madiwani mradi huu ni mkubwa na utaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi wa Miradi ya Serikali lakini pia mwananchi anaweza kujenga kwa gharama nafuu kwa kuwa tofali atazinunua hapa na anaweza kupewa mtaalamu mshauri kwa gharama nafuu ili aweze kujenga nyumba bora na imara”.

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mhe. Hawa Kader amewapongeza watendaji wa Serikali kwa kubuni mradi huo ambao unakwenda kutoa ajira kwa vijana na kuongeza wigo wa upatikanaji wa Mapato kwa Halmashauri wakati wote.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA ULINZI MAKETE March 24, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA ZA UALIMU NA AFYA April 12, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA MAKETE DC April 17, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WAUMINI KKKT-DAYOSISI YA KUSINI MAGHARIBI WAMUOMBEA DC SWEDA APONE MAPEMA

    May 28, 2023
  • RAIS SAMIA KUIPATIA MAKETE BILIONI 2.1

    May 24, 2023
  • ASKOFU DKT. MALASUSA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UMEME IJANGALA-MAKETE

    May 24, 2023
  • KAMATI YA LISHE YAKUTANA KUJADILI TAARIFA YA UTEKELEZAJI SHUGHULI ZA LISHE MAKETE

    May 19, 2023
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • MAKETE DC Online TV
  • MAKETE DC Instagram page
  • PLANREP
  • MAKETE DC Facebook page
  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • BEMIS
  • HIMS
  • FFARS

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.