• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAMLAKA YA AFYA YA MIMEA NA VIUATILIFU YAKABIDHI LITA 700 ZA DAWA WILAYANI MAKETE, KWAAJILI YA WAKULIMA WA VIAZI

Tarehe Iliyowekwa: February 12th, 2024

Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu, leo Februari 12,2024 imekabidhi lita 700 za viuatilifu kwa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kwajili ya kuulia wadudu waharibifu kwenye Mazao ya viazi mviringo, mara baada ya kutokea kwa uharibifu huo   kwenye maeneo ya kata za Matamba, Ikuwo, Kigala na kinyika pamoja na maeneo mengine  wilayani Makete.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi viuatilifu hivyo, Afisa Kilimo Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu, nchini Tanzania, Bi. Cecilia E. Mrosso, amesema lengo la kuleta dawa hizo ni kumsaidia mkulima kupambana na wadudu waharibufu wa Mazao, ili nchi iweze kupata Mazao ya kutosha pamoja na kukuza uchumi wa wakulima hao.

Aidha, Bi. Cecilia, amewataka wakulima kufuata ushauri wa kitaalmu katika kunyunyizia viuatilifu hivyo kwenye mimea hiyo ya viazi kutokana na eneo la Makete kuwa ni oevu, ili wadudu hao waweze kufa, pamoja na kuwa na tija katika zao hilo.

Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makate, Ndg, William M. Makufwe, ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuwaletea viuatilifu hivyo, ambavyo vitakuwa msaada mkubwa kwa wakulima ili kunusuru uchumi wa wakulima hao, baada ya wadudu kuathiri zao hilo kwa sehemu kubwa.

“tumeathirika sana, kuna baadhi ya maeneo zaidi ya ekari 700 za viazi zimeliwa na wadudu, hivyo basi kwa kutuletea hii dawa leo, mmetuokoa sana kwakuwa kuna baadhi ya wakulima hawana uwezo wa kununua dawa hizi, na kwamba leo Februari 12, 2024, dawa hizi zitapelekwa kwa wakulima” Alisema Ndg. Makufwe.

Sambamba na hayo, Ndg. Makufwe, amewataka Maafisa Kilimo, kuhakikisha kuwa wanasimamia pamoja na kuratibu zoezi la upuliziaji dawa kwa ukaribu namna bora, ili kunusuru Mazao hayo.

Ikumbukwe kuwa, wakulima Mazao ya viazi katika kata za Matamba, Ikuwo, kigala, Kinyika na maeneo mengine, wameathirika kwa sehemu kubwa,  baada ya wadudu kuharibu mimea hiyo na kupelekea uzalishaji wa zao hilo kudorola.

Imeandaliwa na: 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.