• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MHE. SWEDA AKABIDHI OFISI KWA MKUU WA WILAYA MPYA WA MAKETE MHE. KISSA GWAKISA KASONGWA

Tarehe Iliyowekwa: January 28th, 2025

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma S. Sweda,leo Januari 28,2025, amekabidhi ofisi kwa Mkuu wa Wilaya mpya wa Wilaya ya hiyo Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, ikiwa ni siku nne tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uhamisho wa wakuu wa Wilaya na wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri hapa nchini.

Hafla hiyo ya kukabidhi Ofisi imefanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Bomani, Uliopo katika makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ambapo Mhe. Sweda, amemtakia heri katika utendaji wake wa kazi ndani ya Wilaya ya Makete, kutokana na uwepo wa wenyeji ambao ni wakarimu na wachapa kazi.

“Makete ina watu wakarimu sana, nimefanya kazi hapa bila kuwa na changamoto yeyote, hivyo naamini hata wewe upo katika mikono salama, na utapata ushirikiano wa kutosha kutokana na kasumba ya wakazi wa wilaya hii kupenda kufanya kazi kwa bidii” alisema Sweda.

Kwa upande wake Mkuu mpya wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, mara baada ya kukaribishwa ndani ya Wilaya hiyo, amesema kuwa kipaumbele chake ni kuona vijana wanapata fursa za kupambania ndoto zao za kimaisha ikiwa ni pamoja na kuwawekekea mazingira mazuri ya kuwekeza nyumbani.

Sambamba na hayo, Mhe. Kissa, amewashurukuru wanamakete kwa kumpokea kwa mikono miwili na kwamba atahakikisha anaendeleza yale mazuri ambayo yamefanywa na Mhe. Sweda, na kusimamia miradi ya maendeleo pamoja na utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi.  

Aidha, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Y. Fungo, amesema kuwa wao kama Halmashauri wataendeleza ushirikiano mzuri na  Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, ili Wilaya ya Makete iweze kukua kiuchumi.

Naye, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Humphrey Mushi, amesema kuwa, limekuwa pigo kubwa kuondokewa na viongozi wawili kwa wakati mmoja , hivyo halmashauri inampongeza kwa kuendelea kuaminiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuhamishiwa majukumu yake katika Wilaya ya Njombe.

Ikumbukwe kuwa, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda, amehamishiwa katika Wilaya ya Njombe, mara baada ya kuitumikia wilaya ya Makete, kwa zaidi ya miaka minne, ambapo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa amehamishiwa Wilaya ya Makete.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA NDG. ISAMAIL ALLI USSI ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI WILAYANI MAKETE

    May 06, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VYOMBO VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUZI ZA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA

    April 29, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE LAPITISHA RASIMU YA SHERIA NDOGO MPYA ZA ADA NA USHURU

    April 25, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE APONGEZA JUHUDI ZA UPAMBANAJI WA UDUMAVU WILAYA YA MAKETE

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.