• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MIAKA MITATU MADARAKANI YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, MAKETE YAPATA BILIONI 21 ZA MIRADI - DED MAKUFWE

Tarehe Iliyowekwa: March 26th, 2024

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makate, Ndg. William M. Mkufwe, amesema kuwa, zaidi ya bilioni 21,118,911,291.24 zimeletwa wilayani Makete, ili kufanikisha uboreshaji wa Elimu msingi, Sekondari na Afya, ikiwa ni kipindi cha miaka 3 tu, tangu kuingia madarakani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ndg. Makufwe, amebainisha hayo, wakati akizungumza na vyombo vya habari, Machi 26, 2024 kuwa, halmashauri ya wilaya ya Makete imefunguka kimiradi na kiuchumi kuanzia ngazi za vijijini hadi makao makuu ya wilaya tangu kuingia kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.  

“kwa kipindi cha miaka mitatu, tumeletwa shilingi bilioni 21,118,911,292.24 ili kuboresha miundombinu, katika sekta mbalimbali hapa halmashauri, ambapo Elimu Msingi tumepewa shilingi bilioni 4,412,619,014.90, Elimu Sekondari tumepewa shilingi bilioni 14,078,599,142.90, Afya tumepewa shilingi bilioni 5,761,873,162.27 na shilingi bilioni 2 tumepewa kwaajili ya ujenzi wa Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete” alisema Ndg. Makufwe.

Aidha, Ndg. Makufwe amesema kuwa, lengo la serikali katika halmashuri ya Wilaya ya Makete, ni kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata huduma bora kupitia uboreshani wa miundombinu sambamba na uwepo wa rasilimali watu wa kutosha, ambao wataenda kuwahudumia wananchi kiufasaha.

Sambamba na hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. Mkufwe, amewataka wazazi na walezi Wilayani Makete kuwapeleka watoto shule, kutokana na uwepo wa mazingira bora ya kujisomea.

Nao, baadhi ya wanafunzi wa Shule mpya ya Sekondari Tupevilwe, iliyopo kata ya Bulongwa, wilayani Makete, wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajengea miundombinu bora ya elimu ambayo inawafanya wafurahie kusoma na kwamba watahakikisha wanafaulu ili waje kulitumikia tafia la Tanzania.

Ikumbuwe kuwa, tarehe 19/3/2024 Rais wa awamu ya Sita, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametimiza miaka 3 tangu apewe jukumu la kuiongoza nchi, kutokana na kufariki kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ambaye alifariki tarehe 17/3/2021.

Imeandaliwa na: 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.