• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MIL. 82,175,000 KUJENGA BARABARA KIJIJI CHA IVILIKINGE

Tarehe Iliyowekwa: October 3rd, 2022

Mbunge Jimbo la Makete amekagua ujenzi wa Barabara yenye urefu wa Kilomita 3.2 inayojengwa na Mkandarasi GS kijiji cha Ivilikinge Kata ya Isapulano.

Barabara hiyo inayojengwa na kuwekwa kifusi inagharimu kiasi cha shilingi Milioni themanini na mbili laki moja sabini na tano elfu (82,175,000) fedha kutoka Serikalini kupitia TARURA.

Mbunge Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga ameishukuru Serikali kusikia kilio cha wananchi wa kijij cha Ivilikinge na Unyangogo ambao ni watumiaji wakubwa kulungana na kuwa wakulima wakubwa wa zao la viazi mviringo na wafugaji wa Ng’ombe wa maziwa.

Mhe. Sanga amesema “Wananchi wameomba barabara hii kwa muda mrefu na sasa Serikali sikivu chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imesikia maombi ya wananchi na imeanza utekelezaji, tunampongeza Rais kwa kuwajali na kuwasikiliza wananchi wako huku vijijini”.

Kwa upande wake Mhandisi Peter John Kawogo amesema Serikali kupitia TARURA imetenga fedha nyingi kwa Wilaya ya Makete zitakazosaidia kujenga barabara nyingi za Vijijini katika Jimbo la Makete kwa kiwango cha kifusi na kusaidia kupitika wakati wote.

“Ujenzi umeanza katika maeneo mbalimbali sambamba na hapa Ivilikinge, Mang’oto Kijiji cha Ibaga ambako wananchi walikuwa wanashindwa kufanya shughuli za usafirishaji mazao, Barabara ya Isapulano-Nkenja n ahata kule Mbalatse mkandarasi anakwenda siku siyo nyingi kabla ya msimu wa mvua kuanza”

Estini Asakwe Tweve mwananchi kutoka Kijiji cha Ivilikinge amesema Serikali imewaona wananchi hao kwa ujenzi wa barabara hiyo ambayo ilikuwa haipitiki msimu wa mvua unapoanza mpaka unapoisha.

“Tunakushukuru sana Mheshimiwa Mbunge kwa namna ambavyo umekuwa ukifika hapa kwenye mikutano na kusikiliza ombi letu la barabara, lakini tunaomba utufikishie shukrani zetu kwa Mkuu wa Wilaya na Mheshimiwa Rais Samia kwa kujali wananchi wa vijijini kama sisi”

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.