• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MILIONI 170 ZINAJENGA BWALO MANG'OTO SEKONDARI

Tarehe Iliyowekwa: October 22nd, 2022

Serikali kupitia TASAF inajenga bwalo kubwa shule ya Sekondari Mang’oto iliyopo Kata ya Mang’oto kwa gharama ya zaidi ya Milioni 170.

Mratibu wa TASAF Wilaya ya Makete Henry Nyigu akizungumza mbele ya Kamati ya fedha, Mipango na Utawala ilipotembelea kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Kata ya Mang’oto amesema Serikali inatekeleza mradi huo wa ujenzi kwa gharama ya zaidi ya milioni 170 huku wananchi pia wakisaidia nguvu kazi.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO

“Mradi huu unatekelezwa kwa Zaidi ya Milioni 170 na wananchi kutoka vijiji viwili wanasaidia nguvu kazi kuhakikisha mradi huu unakamilika na wanafunzi waweze kupata sehemu nzuri ya kufanyia shughuli zao kama kula Chakula au sherehe”

Kazi hii ilianza mwezi wan ne mwaka huu lakini changamoto zilikuwepo ikiwepo wananchi kupunguza nguvu kazi, tunauhakika kazi itakamilika na sasa tupo katika hatua nzuri kwenye ujenzi- Aliongeza Nyigu

Mheshimiwa Diwani Kata ya Mlondwe Alphonse Salimo ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Fedha mipango na Utawala amewapongeza wasimamizi wa mradi huo kwa usimamizi wa karibu kuhakikisha mradi unatekelezwa kwa kiwango kinachostahili.

“Niwapongeze sana wasimamizi wa huu mradi mkubwa katika shule hii ya Sekondari, kwa sababu watoto wetu wanapata eneo zuri wakati wa kula chakula na hata wanapofanya sherehe zao”

Mheshimiwa Diwani Kata ya Lupila Ernesta Lwilla amewapongeza wananchi wa Kata ya Mang’oto kwa ushirikiano walionao katika ujenzi wa bwalo hilo huku akiwasihi kuendelea kushirikiana katika kuhakikisha jingo hilo linakamilika kama ilivyopangwa.

“Niwashukuru wananchi kwa kujitoa kwenu katika kuhakikisha mradi huu umefikia hatua hii kubwa, niwaombe muendelee kushirikiana mpaka mwisho ili kukamilisha mradi huu muhimu kwa wanafunzi wetu”.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.