• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MILIONI 800 KUJENGA VITUO VIWILI VYA AFYA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: August 30th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imepanga kujenga vituo viwili vya Afya kwa shilingi Milioni 800 katika Kata ya Mbalatse na Mfumbi

Akizungumza na wananchi wa Mbalatse Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Bw. William Makufwe amesema Baraza la Madiwani limeridhia kujengwa Kituo cha Afya kwa shilingi Milioni 400 Kata ya Mbalatse na Milioni 400 Kata ya Mfumbi ili kusogeza huduma za Afya karibu na wananchi

“Katika kuhakikisha wananchi mnapata huduma za Afya karibu na makazi yenu waheshimiwa Madiwani kwa kushirikiana na Mbunge na Serikali yetu ya awamu ya sita wameamua kuleta hapa milioni 400 kujenga kituo cha Afya Mbalatse na tayari fedha zimeshawekwa kwenye account ya Kata anzeni kujenga kutuo hapa”

“Lakini pia tunajenga Kituo cha Afya Kata ya Mfumbi kwa milioni 400…hizi ni fedha za Mapato ya ndani ya Halmashauri, niwaombe wananchi kusimamia mapato yasitoroshwe na aiwepo mtu wa kuhujumu ili tuyafanikishe haya kuwasaidia mpate huduma karibu zaidi”

KUTAZAMA VIDEO BONYEZA HAPA https://youtu.be/1ZsMJeFLuhA

Mtendaji wa Kata ya Mbalatse Evelina Sanga amesema wananchi wa Kata ya Mbalatse wamefurahi kupokea fedha hizo na kuongeza nguvu kazi tayari wameanza kufyatua tofali elfu arobaini kwa ajili ya kuanza ujenzi huo nae neo lenye ekari zaidi ya 30 limetengwa kwa ujenzi huo.

“Wananchi kutoka vijiji vitatu vya Kata ya Mbalatse ambavyo ni Mbalatse, Kisasatu na Lupombwe ambao wameanza kuandaa tofali elfu arobani ili ujenzi utakapoanza tusihangaike kuanza kutafuta tofali”.

Wananchi wa Kata ya Mbalatse wameishukuru Serikali Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kuwapatia fedha kiasi cha shilingi Milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya

Wananchi hao ni Veronica Mdete na Fredrick Msigwa wamesema ujenzi wa Kituo hicho unakwenda kusaidia kina mama wajawazito na wazee ambao wamekuwa wakihangaika kwa muda mrefu sasa wakifuata huduma Wilaya ya Wanging’ombe au Hospitali ya Ikonda kwa zaidi ya Kilomita 40

“Tunasafiri kufuata huduma za Afya Kata ya Kipengere iliyopo Wilaya ya Wanging’ombe au Hospitali ya Ikonda na hatuna uwezo mkubwa wa kukodi magari lakini ujio wa Kituo hiki utatupunguzia changamoto ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma za Afya”

Veronica ameongeza kwa kumpongeza Mbunge Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga, Diwani wa Kata ya Mbalatse na Viongozi wa Halmashauri kwa kuwapelekea fedha kata ya Mbalatse ili wajenge Kituo hicho cha Afya.

Diwani Kata ya Mbalatse Mhe. Raymond Mgaya sambamba na kuishukuru Serikali amewaomba wananchi wa Kata ya Mbalatse kuanza kusogeza tofali karibu na  eneo lililopendekezwa kujenga Kituo hicho mapema wiki hii

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.