• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MJADALA WAIBUKA KWENYE BARAZA LA MADIWANI KUHUSU BARABARA ZA TARURA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: November 1st, 2022

Mjadala kuhusu changamoto ya barabara katika maeneo mbalimbali Wilayani makete zinazosimamiwa na TARURA umeibuka kwenye baraza la Madiwani na kuwaomba Tarura kuimarisha barabara za kimkakati zaidi.

Wakiwa kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani tarehe 1 Novemba, 2022 waheshimiwa madiwani kutoka kata mbalimbali pamoja na kuwapongeza Tarura kwa ukarabati wa barabara katika maeneo kofofi, wamewasihi kushughulikia barabara kwa mtandao mrefu angalau kuanzia Kilometa 3 na zaidi tofauti na ilivyo sasa ya kushughulikia Mita 600 au 700.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO

Waheshimiwa Madiwani wamesema hali hiyo inaweza kuongeza matatizo katika baadhi ya maeneo na kutumia gharama kubwa kwa wakandarasi kusafirisha mitambo kwenda kushughulikia eneo dogo.

Diwani wa Kata ya Matamba Mhe. Saineli Nyambo amemuomba Meneja wa Tarura Wilaya ya Makete kufanya matengenezo ya haraka barabara ya Kinyika-Kikondo, Matamba-Kitekelo mpaka Chimala ili kuondoa upotevu wa mapato ambayo yamekua yakipotea kupitia changamoto ya ya barabara hiyo msimu wa mavuno.

Akijibu hoja hiyo kaimu  Meneja wa Tarura Wilaya ya Makete Mhandisi John Kawogo amekiri ubovu wa barabara hizo muhimu kwa uchumi wa Wilaya huku akisema mpango wa Tarura ni kuzifungua barabara hizo pindi watakapo pata fedha lakini  kwa sasa wamepata fedha kidogo  za kufanya matengenezo katika maeneo ukorofi sana.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya (W) Makete Willium Makufwe ameomba kuwepo na mpango wa kujenga barabara chache za kimkakati zitakazoleta tija ambazo TARURA wanaweza kufanya matengenezo makubwa ili kuondoa upotevu wa mapato.

Baraza la madiwani litaendelea tena tarehe 2 Novemba, 2022 ambapo Madiwani watapata fursa ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza tofali kinachomilikiwa na Halmashauri pamoja na kukabidhiwa gari kubwa lori jipya lililonunuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa ajili ya shughuli mbalimbali za ujenzi.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.