• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. ANTONY MTAKA AWATAKA WAFUGAJI KUTEMBELEA SHAMBA LA MIFUGO LA KITULO

Tarehe Iliyowekwa: October 28th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Antony Mtaka, ametoa rai kwa watanzania ambao wapo tayari kuwekeza katika Ufugaji wa Ng'ombe , kutembelea shamba la kufugia Ng'ombe la Kitulo, lilipo Wilayani Makete, ili waweze kujipatia Mitamba iliyo bora zaidi.

Mhe. Mtaka amesema hayo leo October 28, 2023, Wakati akikabidhi zawadi ya Mitamba miwili yakike yenye ujauzito, kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Philip Isdor Mpango, katika kilele cha Maonesho ya Nne ya SIDO, kwenye Viwanja vya Sabasaba, mkoani Njombe.

"mheshimiwa Makamu wa Rais, miaka ya nyuma watanzania walilazimika kutembea umbali mrefu hadi Afrika Kusini, Ili waweze kupata mbegu bora ya Ng'ombe, kutokana na shamba letu kuyumba, Kwa zawadi hii tunaamini utakuwa shahidi wa uzalishaji wa Maziwa" Alisema Mhe. Mtaka.

Aidha, Mhe. Antony Mtaka, ameongeza kuwa, zawadi ya Mitamba hiyo , ni ishara tosha ya kuwaambia watanzania kuwa, shamba la Kitulo, lililopo Wilayani Makete, Mkoani Njombe, limeanza kazi ya kuzalisha mbegu bora za Ng'ombe wa Maziwa.

Hata hivyo, Ikumbukwe kuwa,leo October 28, 2023, ilikuwa ni Kilele cha Maonesho ya Nne ya SIDO Kitaifa, ambapo kwa mwaka huu, yamefanyika Mkoani Njombe, katika Viwanja vya Sabasaba, na Kuhitimishwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Philip Isdor Mpango.

Imeandaliwa na: 

Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.