• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. MTAKA, AWATAKA WAKAZI WA MAKETE KUTAMBUA UMUHIMU WA LISHE BORA KWA WATOTO

Tarehe Iliyowekwa: January 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Antony Mtaka, amewataka wazazi na walezi, Wilayani Makete, kutambua umuhimu wa kuwapa watoto wao Lishe Bora, ili wawe na Afya bora katika makuzi yao.

Mhe. Mtaka amesema hayo leo Januari 26, 2024, akiwa Wilayani Makete, wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kuhamasisha Lishe na Mpango wa Kuongeza Kasi ya Kupunguza Udumavu, mkoani Njombe.

"endapo Wazazi wangetambua na kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha kuwa wanawalea vizuri Watoto wao kwa kuwanyonyesha, na kuwalisha vyakula vinavyokidhi makundi yote matano na kuacha uvivu, tusingefika hapa tulipo sasa" Alisema Mhe. Mtaka.

Adha, Mhe. Mtaka , ameziagiza Shule zote ziwe na Bustani za mbogamboga na Matunda ili Watoto wawapo Shule waweze kula Chakula Bora chenye mchanganyiko wa makundi yote ya vyakula.

Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amesema Halmashauri imetoa Elimu kwa wahudumu Afya ngazi ya Jamii, imenunua Ng'ombe wa Maziwa, ikiwa ni pamoja na kuwafuatilia Watoto wote kwa ukaribu wanaozaliwa na uzito pungufu ili kupambana na Udumavu wilayani humo. 

Naye, Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali, la TAHEA, Bi. Leonida Mng'ong'o , amewataka watumishi wa serikali kushirikiana na Wadau mbalimbali ili kuhakikisha Udumavu unakomeshwa mkoani Njombe.

Hata hivyo, Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ilifanya zoezi la Upimaji wa Lishe Kwa Watoto wenye umri chini ya Miaka 5, zaidi ya 7462, katika vijiji 93, na kubaini 32.6% ya Udumavu, uzito mdogo 5.8%na ukondefu 2.8 %.












Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.