• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE AKAGUA UKABARABATI WA SHULE YA SEKONDARI IPELELE

Tarehe Iliyowekwa: January 29th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Sweda, leo Januari 29, 2024, ametembelea na kukagua ukarabati wa Shule ya Sekondari Ipelele, pamoja na familia ambazo nyumba zao zilibomolewa wiki iliyopita kutokana na uwepo wa Upepo mkali uliombatana na mvua kubwa, na kupelekea wanafunzi pamoja familia kadhaa kukosa masomo na mahali pa kuishi.

Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Mh. Juma Sweda, akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William Makufwe, amesema kuwa, imewabidi kuchukua maamuzi ya haraka ili wanafunzi waweze kuendelea na masomo ikiwa ni pamoja na kuwanusuru na changamoto za mtaani.

Aidha, Mhe. Sweda , amewapongeza na kuwashukuru wakazi wa Kata ya Ipelele, pamoja na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Makete, Ndg. Clemence Ngajilo, kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa ukarabati wa Majengo hayo unakamikika haraka iwezekanavyo.

Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amewataka mafundi wanaokarabati majengo hayo, kuhakikisha kuwa kabla ya Januari 31, 2024, wawe wamekamilisha ujenzi huo, ili watoto waweze kurejea Shule haraka iwezekanavyo.

Naye, Mwenyekiti wa Kijiji Cha Mbanga, Ndg. Nelson Fungo, amesema kuwa kwa kushirikiana na wananchi wamefanikiwa kujenga nyumba za muda Saba, ikiwa ni pamoja na kuwachangia Chakula wale wote ambao wamekumbwa na janga hilo.

Nao baadhi ya Wananchi, ambao nyumba zao ziliezuliwa na Upepo mkali, uliombatana na Mvua, akiwemo Bi. Helenida Chaula, Bi. Babhikie Mtepa na Bi. Betina Sanga, wameushukuru Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, pamoja na serikali kwa Ujumla, kwa kuwasaidia katika kipindi hiki kigumu, na kuahidi kupanda miti Kwa wingi ili kupunguza Majanga yatokanayo na Upepo mkali.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.