• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE, AOMBA USHIRIKIANO KUKARABATI, SHULE YA SEKONDARI IPELELE.

Tarehe Iliyowekwa: January 23rd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Sweda,mapema hii leo Januari 23, amefika katika shule ya Sekondari Ipelele, iliyopo wilayani Makete, mkoani Njombe, baada ya kuezuliwa hapo jana jioni Januari 22, 2024, kulikosababishwa na mvua kali iliyoambatana na Upepo.

Akiwa katika aneo la tukio,Mhe, Sweda, amewataka wakazi wa maeneo hayo kuwa tabia ya kupanda miti, ambayo itakuwa msaada mkuwa katika kuzuia majanga ya kama hayo kutokea, ambapo kwa sasa wilayani Makete, imeonekana kukumbwa na janga hilo.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete, Ndg. Clemence Mwamwite Ngajilo, amewataka wakazi wa maeneo hayo, kuchukua tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa na Upepo mkali, na kwamba serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ipo pamoja nao katika kuhakikisha shule hiyo inarudi katika ubora wake wa hapo awali.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Fungo, amewataka wananchi hao kuungana kwa pamoja kuhakikisha kuwa shule hiyo inajengwa na kurudi katika ubora wake wa hapo awali.

Hata hivyo, wakazi wa kata ya Ipelele, kwa pamoja wameunga mkono shughuli za ujenzi wa shule hiyo, kwa kuchangia kiasi cha shilingi milioni moja na elfu tatu, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Sweda na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Festo Sanga, wameahidi kutoa shilingi laki tano, na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Bi. Jackline Mrosso,ameahidi kutoa  shilingi laki tatu, ili kufanikisha ukarabati wa shule hiyo ya Sekondari Ipelele.

Imeandaliwa na: 

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.