• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE, AWATAKA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KUTATUA KERO ZA WATUMISHI WALIOPO CHINI YAO.

Tarehe Iliyowekwa: March 19th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda, leo Machi 19, 2024, amesikiliza na kutatua kero za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, ambazo wameziwasilisha kwake wakati wa kikao na watumishi hao, ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Bomani uliopo katika halmashauri hiyo.

Akizungumza katika kikao hicho, Mhe. Sweda amesema kuwa, wakuu wa Idara na Vitengo, wametakiwa kuwa makini katika kushughulikia kero za watumishi katika idara zao kutokana na kuwepo kwa baadhi ya malalamiko ambayo yamekuwa ndani ya uwezo wao kimalaka.

“hakikisheni mnatatua kero za watumishi wenu, si busara kila siku mnatatua changamoto zenu bila kusikiliza na kutatua kero za watumishi waliopo chini yenu, ni wajibu wako kama mkuu wa Idara na kitengo kuwapa motisha sambamba na kuwalipa stahiki zao mapema ili kuongeza ufanisi wa kazi” Alisema Mhe. Sweda. Aidha, Mhe. Sweda, amevitaka vyama mbalimbali vya kusimamia maslahi ya watumishi kama vile CWT, kutambuwa kuwa nao ni watumishi wa umma, hivyo wanapaswa kusikiliza pamoja na kushiriki katika vikao mbalimbali vya serikali, sambamba na utiifu kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sambamba na hayo, Sweda, amewataka wakuu wa Idara na Vitengo, kusimamia miradi ya elimu kiufasaha, ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika miradi mbalimbali ya kiuchumi pasi na kutegemea mishahara yao kutokana na uwepo wa fursa mbalimbali Wilayani Makete kama vile Kilimo.

Kwa upande wake Afisa Manunuzi na Ugavi, Ndg. Mathias Mbafu, akizungumza katika kikao hicho, awamewaomba na kuwasisitiza wakuu wa idara na taasisi za serikakali, kuhakikisha kuwa wanatumia mfumo wa kidigitali wa manunuzi ya Umma, (NeST), ambao umeanzishwa na serikali ili kuboresha mifumo ya ununuzi hapa nchini.

Nao baadhi ya watumishi wa Serikali, wamesema kuwa, wamepokea malekezo hayo, na wapo tayari kuwataumikia wananchi sambamba na Kutumia mfumo wa NeST.

Ikumbukwe kuwa, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda, ameweka utaratibu wa kusikiliza na kutatua kero za watumishi katika kila robo ya mwaka wa fedha. 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.