• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. SWEDA AWATAKA MAFUNDI WANAOTEKELEZA MIRADI YA SERIKALI WILAYANI HUMO KUKAMILISHA KWA WAKATI

Tarehe Iliyowekwa: June 20th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma S. Sweda amewataka mafundi wanaojenga jengo la Bweni la Wavulana, Shule ya Sekondari Usililo kuongeza kasi ya umaliziaji ili kuyokana na uhitaji wake kwa sasa.

Mhe. Sweda, amesema hayo leo Juni 20, 2024 akiwa katika ziara ya Ukaguzi wa Miradi ya Serikali katika Kata za Luwumbu na Kipagalo, zilizopo Wilayani Makete, Mkoani Njombe.

" Sijaridhishwa na kasi ya Mafundi wanaojenga Bweni hili la Wavulana, hivyo nawataka kukabidhi Jengo hili ifikapo Juni, 27, 2024, ili lianze kutumika na Watoto wakiume wanaosoma shuleni hapa" alisema Mhe. Sweda.

Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya, amepongeza juhudi za mafundi wanaojenga madarasa 12 na Matundu 10 ya vyoo, kwaajili ya wanafunzi wa kidato cha Tano na Sita na kuwataka kukamilisha mapema ili wanafunzi watakaoanza Masomo yao mwezi wa Saba, waweze kutumia majengo hayo.

Aidha, Mhe. Sweda, akiwa katika Kata ya Kipagalo, ameoneshwa kuridhishwa na kasi ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Kipagalo, ambacho kitakuwa na Huduma za Wagonjwa wa Nje pamoja Jengo la Mama na Mtoto na kuwataka CMC kusimamia mradi huo kikamilifu ili uweze kukamilika kwa wakati.

Ikumbukwe kuwa, Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Juma Sweda, akiwa katika ziara hiyo, ameongozana na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Bi. Grace Mgeni.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.