• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. SWEDA, AWATAKA WANANCHI WILAYANI HUMO, KUCHUKUA TAHADHARI YA UWEPO WA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Tarehe Iliyowekwa: April 8th, 2024

Wananchi wanaoishi kwenye mazingira hatarishi kama vile kwenye mabonde na milimani wilayani Makete, Mkoani Njombe, wametakiwa kuchukua tahadhari kutokana na maeneo mengi hivi sasa kuporomoka kutokana na mvua kubwa zinazoendele kunyesha kwenye maeneo yao, na kusababisha uharibifu wa mazingira pamoja na mazao.

Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 8, 2024, na Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Juma Sweda wakati ametembelea kijiji cha Makwalanga kitongoji cha Mpulo, kilichopo Kata ya Ipelele, mara baada kutokea maporomoko ya udondo kutokana na uwepo wa mvua kali zinazoendelea kunyesha na kusababisha uharibifu wa mazao ya wananchi.

"Chukueni tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa inayoendelea kunyesha hapa Wilayani Makete, nanyinyi Viongozi hakikisheni mnatoa taarifa mapema endapo kutatokea maporomoko ambayo yanaweza kuhatarisha maisha ya wananchi" Alsiema Mhe. Sweda.

Kwa upende wake, Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Bi. Upendo Mgaya, amewataka wananchi wa kitongoji hicho cha Mpulo kuyafuata maagizo yaliyotolewa na viongozi ili kuepukana na madhara yanayoweza kujitokeza, na kuongeza kuwa maporomoko hayo yametokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani humo.

Naye, mwenyekiti wa kijiji cha Makwalanga Ndg. Sifa Festo Sanga, amemshukuru mkuu wa wilaya ya Makete, pamoja na viongozi mbalimbali kwa kufika kwa wakati kwenye kitongoji hicho cha Mpulo, kujionea adha hiyo ya mvua, na kwamba hakuna madhara makubwa yaliyojitokeza zaidi ya uharibifu wa mazao yao na mazingira.

Ikumbukwe kuwa, mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete kwa hivi sasa, zimesababisha kuporomoka kwa udongo kwenye maeneo mbambalimbali, na kusababisha adha kubwa kwa wananchi kama vile Mito kujaa maji, mazao kuharibika pamoja na barabara nyingi kutopitika.













Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.