• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. SWEDA AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI KAZI

Tarehe Iliyowekwa: August 14th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amewataka watumishi wa serikali kutekeleza wajibu wao ipasavyo kwa kuwahudumia na kutatua changamoto mbalimbali za Wananchi kwakuwa hilo ndiyo jukumu lao.

Mhe. Sweda, amesema hayo leo Agosti 14,2024, akiwa kwenye ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika vijiji vitatu ambavyo ni Maleutsi, Ndulamo na Ivalalila vilivyopo katika kata ya Iwawa , na kuwataka watumishi kushirikiana na wananchi ili kuhakikisha kuwa Jamii inakuwa na Maendeleo endelevu.

"Serikali ya awamu ya sita inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali kwa kuleta fedha, na kazi iliyobaki ni uwajibikaji wa watumishi na kufanya tathimini ya utendaji ili kuboresha zaidi katika nyanja tofauti kama vile miradi ya umeme, barabara za TARURA, Maji na sekta ya afya" Alisema Sweda.

Aidha, Mhe. Sweda amesema kuwa serikali inaendelea kuimarisha miundombinu katika hospitali ya Wilaya ikiwemo jiko, nyumba ya kupumzikia na kuweka uzio pamoja na upatikanaji wa dawa kwa wakati, kwakuwa hospitali hiyo ya Wilaya imepokea vifaa vya kisasa na kupata majengo ya kisasa, ili wananchi wapate huduma Bora.

Sambamba na hayo, Mkuu wa Wilaya ya Makete, ameongeza kua maendeleo ni hatua hayawezi kumalizika kwa siku moja hivyo serikali inaendelea kutekeleza yale yote ambayo ni mahitaji muhimu kwa wananchi kupitia sekta mbalimbali na halmashauri itaendelea kutoa pesa kwenye vijiji na kutekeleza miradi kwa mapato ya ndani ikiwemo Kituo cha afya na Mbalatse na Mfumbi.

Hata hivyo, Mhe. Sweda, kesho Agosti 15,2024 ataendelea na ziara ya kukagua miradi , kusikiliza na kutatua kero za wananchi kuanzia ngazi ya vijiji pamoja na kutathimini shughuli zinazotekelezwa kwenye maeneo hayo.

Imeandaliwa na:

Kitengo Cha Mawasiliano ya Serikali,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.