• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WILAYA YA MAKETE NDG, MAKUFWE ATOA MAELEZO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Tarehe Iliyowekwa: September 26th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, Septemba 26,2024, ametoa maelezo kwa weadau wa Uchaguzi wilaya ya Makete wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa ili kujenga uelewa wa pamoja katika kulekea kwa uchaguzi huo Novemba 27,2024.

Ndg. Makufwe, ametoa maelezo hayo kwenye Kikao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Bomani uliopo makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete, na kubainisha kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itafanya uchaguzi wa serikali za mitaa, hivyo kikao hicho kimelenga kutoa mwelekeo bora wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

"serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kuwa kunakuwa na uchaguzi wa Uhuru, Haki na Amani , na kwamba sitegemei kuwepo kwa ugomvi au kutokuwepo kwa maelewano baina ya vyama vya siasa, kwasababu siasa si ugomvi" alisema Makufwe.

Aidha, Ndg. Makufwe, amesema kuwa wataendelea kufanya vikao na mikutano mbalimbali ili kuendelea kujengeana uwezo wa kiulewa katika ujuaji wa kanuni na taratibu za uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na kupeana elimu ya umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura.

Nao baadhi ya wadau wa Uchaguzi akiwemo Katibu wa UVCCM wilaya ya Makete, Ndg. Hassan Kapolo, amesema kuwa wao kama wadau wa siasa nchini watahakikisha wanafanya kampeni zenye staha ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa na viongozi wa walio bora kuanzia ngazi ya Vitongoji.

Naye, Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe, Mzee Jasel Mwamwala, amesema kuwa kuna haja ya kuongeza nguvu katika uhamasishaji ili wananchi wajue umuhimu wa kupiga kura pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mkazi la kupiga kura.

Kwa Upande, Makamu Mwenyekiti wa Makanisa ya Kikristo Wilaya ya Makete, Mchg. Sowo, amesema kuwa Uchaguzi ni kitu muhimu kwakuwa umeanzia kwenye Biblia, hivyo anategemea vyama vya siasa vitaweka wagombea wenye uwezo na weledi pamoja na kutoruhusu malalamiko yasiyo na tija.

Ikumbukwe kuwa, Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, ametoa Maelezo ya Uchaguzi kuelekea kufanyika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27,2024.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.