• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WILAYA YA MAKETE NDG. MAKUFWE, AWASIHI VIONGOZI WA SIASA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA ZOEZI LA UANDIKISHA WAPIGA KURA

Tarehe Iliyowekwa: October 18th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, amewasihi Viongozi wa vyama vya Siasa kuhakikisha kuwa wanawahamasisha wanachama wao kujiandikisha ili waweze kupiga kura ifikapo Novemba, 27,2024.

Ndg. Makufwe, amesema hayo leo Oktoba 18,2024, wakati akiongea na wadau wa Uchaguzi wa Tarafa ya Matamba, iliyopo Wilaya ya Makete.

"Niwaombe sana hamasisheni wanachama wenu waende wakajiandikishe, ikiwa ni pamoja na kuwahamasisha watu wenu kugombea nafasi mbalimbali kama vile kuanzia ngazi ya Vijiji na Vitongoji" alisema Makufwe.

Aidha, Ndg. Makufwe, amewataka Viongozi hao wa vyama vya siasa kushirikiana katika zoezi hilo muhimu la Uandikishaji pamoja na siku ya Upigaji kura, kwakuwa wanajenga Taifa Moja.

Sambamba na hayo, Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Makete, Ndg. Makufwe, inawezekana kuhamisha Kituo ikiwa taratibu zitafuatwa ili muweze kuandikisha wapiga kura.

Kwa Upande , Katibu Tarafa wa Matamba, amewataka Viongozi wa vyama vya Siasa kufanya Siasa za kujenga Nchi, na si malumbano ambayo yamekuwa yakileta migongano.

Naye, Mtendaji wa Kata ya Matamba, Bi. Theresia , amevishukuru vyama vya Siasa, kwa kuwa na Ushirikiano mzuri katika zoezi la Uandikishaji.

Ikumbukwe kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Ofisi ya Rasi-TAMISEMI, inaendesha zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa, Vijiji na vitongozi, ambapo kwasasa zoezi la uandikishaji lipo mwishoni linategemea kukamilisha Octoba 20,2024, na uchaguzi huo unategemewa kufanyika Novemba 27,2024.


Nao baadhi ya Viongozi wa vyama vya Siasa, wamesema kuwa zoezi la Uandikishaji linaenda vizuri licha ya kuwepo kwa changamoto ya muingiliano na shughuli za kiuchumi kama vile Kilimo.


Ikumbukwe kuwa, Kikao hicho kililenga kupeana Taarifa ya mabadiliko ya ratiba ikiwa ni pamoja na kusikiliza changamoto mbalimbali katika zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YENYE FEDHA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    June 05, 2025
  • DED MWAGA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWENYE MIRADI KIKAMILIFU

    June 04, 2025
  • MAKETE IPO TAYARI KWA BBT

    May 26, 2025
  • WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WILAYANI MAKETE WATAKIWA KUFUATA ASHERIA, KANUNI NA MAADILI YA KAZI

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.