• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MSIOGOPANE, SIMAMIENI VIGEZO VYA MRADI WA P4R –MHE. SWEDA

Tarehe Iliyowekwa: November 6th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda, amewataka wasimamizi wa mradi wa Huduma Endelevu wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini, kuhakikisha wanasimamia vizuri vigezo kiukamilifu ili wilaya ya Makete iweze kupata pesa zote ambazo zimetengwa kwa kila kigezo.

Mhe. Sweda amesema hayo, leo Novemba 6,2023 wakati wa kikao cha kujadili utekelezaji wa mradi wa P4R kwa wilaya ya Makete, ambapo amewataka watekelezaji wa mradi huo kutoogopana ili kuhakikisha wilaya inakuwa safi kuanzia ngazi zote, na kunufaika  na  kwamba hategemei kuona mtu yeyote akikwamisha zoezi hilo.

“Swala usafi wa mazingira wilayani Makete sio geni, tuhakikishe tunapambana nalo ili tufikie asilimia 100, haipendezi kuona wilaya ambayo inayoongoza kwa upatikanaji wa maji inakuwa na vyoo ambayo sio bora, hivyo basi kila mtu awajibike kuhakikisha kuwa tunapata pesa hizo” Alisema Mhe. Sweda.

Aidha, Mhe. Sweda ameagiza kila idara inayohusika na kusimamia swala la lishe bora kwa watoto kuhakikisha wanatimiza wajibu wao kikamilifu ili kuwa na jamii bora, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa mimba za utotoni zinatokomezwa kwa namna yeyote ile.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Mhe. Christopher Fungo, amewataka wasimamizi wa miradi wa P4R kuhakikisha kuwa wanajiongeza katika utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na kutumia rasilimali walizonazo ili waweze kupata pesa hizo kwa kila kigezo ambacho kimewekwa na serikali.

“tumieni pesa mlizonazo ambazo mmezitenga kwaajili ya maendeleo ili muweze kukamilisha vigezo ambavyo vimewekwa na serikali katika kuhakikisha unapata pesa hizo za maendeleo ambazo zimewekwa kwa kila kigezo”

Naye Mganga Mkuu wa Wilaya ya Makete Dkt. Ligobert Kalisa, amesema kuwa mradi huo wa P4R utasaidia kuimarisha mapato katika halmashauri, kutokana na kupata pesa nyingi, zaidi ya bilioni moja endapo vigezo vyote vitatimizwa.

Akichangia hoja katika kikao hicho, mwakilishi wa watendaji Kata, Ndg. Bathoromeo Sajilo Makome, amesema kuwa, elimu inatakiwa iendane na usimamizi wa kutosha ili kuhakikisha kuwa usafi wa mazingira unaboreshwa,

Ikumbukwe kuwa, Mradi wa Huduma Endelevu wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini, umelenga kuboresha usafi wa mazingira kwa kuweka vigezo ambavyo, kila wilaya inatakiwa kuvitimiza ili waweze kuwekewa pesa ambazo zitawasaidia katika kuboresha mazingira, kwenye elimu, majumbani, pamoja na maeneo ya jumuiya.

Imeadaliwa na: 

Kitengo cha Mawasiliano serikalini,

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.

 

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.