• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MWENGE WA UHURU WAPITISHA MIRADI YOTE WILAYANI MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: June 18th, 2024

Mbio za Mwenge wa Uhuru, zimeendelea leo Juni 18, 2024 katika Wilaya ya Makete ambapo Miradi 8 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.453,205,190)= imetembelewa na kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru.

Akizungumza kwa nyakati tofauti Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Ndg. Godfrey Eliakim Mnzava, amesema kuwa lengo la Serikalini ni kusogeza huduma za kijamii kwa wananchi.

" Mwenge huleta Matumaini pasipo na Tumaini, hivyo basi niwapongeze Halmashauri ya Wilaya ya Makete, kwa kusogeza huduma za kijamii kwa Wananchi" Alisema Ndg. Mzanva.

Aidha, Ndg. Mnzava amewataka viongozi Wilayani humo kuendelea na Kampeni ya Kupinga rushwa , ikiwa ni pamoja kuwa na Klabu za Rushwa katika kila Shule Wilayani humo.

Sambamba na hayo, Mwenge wa Uhuru Wilayani humo, umekagua Vikundi mbalimbali vya kijasilimali ambavyo vimekuwa vikipewa Fedha za mikopo ya asilimia 10 kama vile, Kikundi cha Bodaboda cha Ujuni kilichopo Kata ya Kitulo.

Ikumbukwe kuwa, Mwenge wa Uhuru, umekagua na Kutembelea Miradi 8, ya Shamba la Miti 203, ya Matunda ya Parachichi na Kushiriki kupanda Miti 15, Umzindua mradi wa Maji katika kijiji Cha Tandala, Umetembelea mradi wa Uhifadhi wa Mazingira katika Shamba Darasa la Msitu wa Kanisa la Roman Katholic Kisinga.

Miradi mingine ni kama vile, Kutembelea Uendelevu wa Kituo cha Mafuta cha BEM, Kikundi cha Bodaboda Ujuni, Kupokea taarifa ya Hasama za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Kupokea taarifa ya Lishe na kugawa viini Lishe Kwa Watoto na Mama Wajawazito.

Pia, Mwenge wa Uhuru, umetembelea Kazi iliyofanywa na asilimia 5 ya Fedha za michango ya Wananchi, Umepokea Taarifa ya mradi na kuweka Jiwe la Msingi katika Madarasa 12, na Matundu 20 ya vyoo katika Shule ya Sekondari Mount Chafukwe, Umezindua Klabu ya Wapinga Rushwa katika Shule ya Sekondari Mount Chafukwe na Chama Cha Skauti, pamoja na Kuweka Jiwe la Msingi katika Kituo cha Afya Mfumbi pamoja na Kupokea taarifa za VVU/Ukimwi pamoja na Ugonjwa wa Malaria.


Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.