• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, DKT. NINDI ATEMBELEA ENEO LA UWEKEZAJI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KIJIJI CHA IBAGA

Tarehe Iliyowekwa: September 26th, 2025

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, anayesimamia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Dkt. Stephen J. Nindi, leo Septemba 26,2025, ametembelea na kukagua eneo ambalo ni maarufu kwa kilimo cha Viazi Mviringo, katika kijiji cha Ibaga, Kata Mang’oto, ambako kumepangwa kuwekwa mifumo ya kilimo cha umwagiliaji ili wananachi hao waweze kuzalisha mazao yao kwa misimu yote ndani ya mwaka.

Akiwa katika maeneo hayo, Dkt. Nindi, ameridhia kuwepo kwa mpango huo ambao unaratibiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Makete, mara baada ya kujionea mashamba na shughuli mbalimbali za kilimo cha viazi mviringo ambazo zinafanywa na wenyeji wa eneo hilo la Ibaga pamoja na baadhi ya wananchi wanaotoka nje ya Halmashauri hiyo.

Aidha, Dkt. Nindi, amesema kuwa kutokana na kuwepo kwa mito inayotiririsha maji kwa wingi ndani ya Wilaya hiyo, ni vyema pia kuangalia namna ambayo mito hiyo itatumika katika uwekezaji wa miundombinu ya umwagiliaji ili kurahisiha upatikanaji wa maji ya kutosha kwa wakulima.

Sambamba na hayo, Dkt, Nindi, akiongea na baadhi ya wataalam wa Kilimo kutoka mkoani Njombe na Halmashauri ya Wilaya ya Makete, katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Makete, amewataka wataalam hao kuwashauri wakulima waingie katika vyama vya Ushirika, ili kurahisisha shughuli zao za kilimo.

Kwa Upande Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa, amemshukuru Naibu katibu Mkuu huyo, kwa kuwatembelea na kuzungumza nao mambo mbalimbali ili kuhakikisha kuwa Kilimo kinaboreshwa na wananchi wananufaika na mipango ya Serikali ya kuwakwamua kiuchumi kupitia kilimo bora na chenye tija.


Nae, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg, Jerry Daimon Mwaga, akitoa taarifa fupi kwa Naibu katibu Mkuu, Dkt, Nindi, amesema kuwa, hadi sasa tayari mpango wa kuweka mifumo ya umwagiliaji katika eneo la Ibaga upo katika hatua nzuri, na kwamba TARI wamesharidhia kuweka ofisi hapa wilayani Makete, ili waweze kuzalisha mbegu bora ambazo zitatumika na wananchi katika uzalishaji wa Viazi Mviringo

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA - UTOLEWAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI 2025-2026 November 16, 2025
  • MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 September 01, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA AAGIZA KUKAMILISHA MIRADI KWA HARAKA

    November 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI MAKETE DC , JERRY MWAGA, AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

    November 13, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MAKETE MHE. KISSA KASONGWA AWATAKA WAFANYABISHARA WILAYANI HUMO KUWEKEZA NYUMBANI

    November 12, 2025
  • DED MWAGA AONGOZANA NA MENEJA TARURA KUKAGUA BARABARA YA MANG'OTO IBAGA

    November 12, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.