• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

NAWATAKIA MTIHANI MWEMA-MBUNGE MAKETE MHE. SANGA

Tarehe Iliyowekwa: October 3rd, 2022

Wanafunzi wa darasa la saba Wilayani Makete wanaotarajiwa kuhimitu mwishoni mwa wiki hii wameteaswa kujiandaa kimasomo na kisaikolojia ili waweze kufanya mitihani yao vizuri

Nasaha hizo zimetolewa na Mbunge Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga alipowatembea wanafunzi wa shule ya Msingi Ivilikinge Kata ya Isapulano mapema leo na kuzungumza nao huku akiwataka kuweka utulivu wanapokuwa kwenye vyumba vya mitihani.

Mhe. Sanga amesema ili waweze kufaulu vizuri mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba wanapaswa kujiandaa vizuri na kufanya mitihani yao kwa utulivu ili wote waweze kujiunga kidato cha kwanza hapo mwakani 2023.

Pamoja na maneno hayo Mhe. Mbunge ametoa zawadi mbalimbali kwa wanafunzi hao ili kuwatia moyo kuelekea siku 2 zilizosalia za mitihani ya kuhitimu darasa la saba.

Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Ivilikinge ndugu Estini Asakwe Tweve ameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mwalimu wa Kike ambapo shule hiyo haikuwa na mwalimu wa jinsia ya Kike kwa kipindi kirefu jambo lililowafanya kumuomba Mbunge mara kwa mara ili aweze kuwasaidia kumpata mwalimu huyo na sasa amepatikana

Tweve ameongeza kuwa ujio wa mwalimu wa Kike shuleni hapo utasadia watoto wa kike kueleza changamoto zao kwa uwazi tofauti na ilivyokuwa hapo awali.

Mwalimu Ibrahimu Fungo ambaye ni Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Ivilikinge amemshukuru Mhe. Mbunge kwa kuwatembelea shuleni hapo na kutoa zawadi kwa wanafunzi hao huku akitoa shukrani zake za dhati kwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kuwapelekea mwalimu wa kike katika shule anayoisimamia na kuahidi wanafunzi wanaohitimu darasa la saba watafanya vizuri kwa kuwa wamewaandaa kimasomo na kisaikolojia vizuri.

Wanafunzi wa Darasa la saba kote nchini wanatarajia kufanya mitihani yao tarehe 5 na 6 mwezi huu huku darasa la nne wakitarajia kufanya tarehe 26 na 27 octoba 2022.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.