• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

PELEKENI WATOTO WADOGO KLINIKI, MJUE AFYA ZAO-BI. JACKLINE NANNAUKA

Tarehe Iliyowekwa: November 21st, 2023

Wakazi wa Kijiji Cha Ndapo, kilichopo kata ya Kinyika, pamoja na Kijiji cha Makusi kilichopo kata ya Itundu, wametakiwa kuwapeleka Watoto wao kliniki, kila baada ya miezi miezi mitatu, ili kuhakikisha wanajua Maendeleo ya ukuaji wao mara kwa mara.

Hayo yamesemwa leo, Novemba 21, 2023, na Bi. Jackline Nannauka,  wakati utolewaji wa Elimu ya Umuhimu wa Lishe bora kwa mtoto mdogo, kuwa, kumpeleka mtoto kliniki mara kwa mara kutachangia kujua maendeleo ya Mtoto wako kiafya,  hivyo itakuwa rahisi kupambana na utamiamlo , ili asipatwe na Udumavu.

"Pelekeni Watoto Kliniki, Ili muweze kujua kama.mtoto anapungukiwa na Lishe mwilini, hii itasaidia Kupambana na Udumavu kwa Watoto wetu majumbani".Alisema Bi. Jackline Nannauka.Sambamba na hayo,Bi. Jackline, amewataka  wakazi wa Vijiji vya Ndapo na Makusi kulima bustani ndogo za Mboga Mboga katika maeneo yao ya nyumbani, pamoja na Maeneo ya Shule hasa ambazo zinawalisha wanafunzi ili waweze kujengewa uwezo wa kiakili na kifikra.

Naye Afisa Maendeleo ya Jamii, Wilaya ya Makete, Bi. Esther Lamosai, akizungumzia ukatili, amewataka wakazi wa Vijiji vya Ndapo na Makusi, kuhakikisha kuwa wanapambana na mimba za utotoni pamoja ukatili mwingine unaoendelea kwenye maeneo yao.

Kwa Upande wake, Diwani wa Kata ya Itundu, Mhe. Fadhili Onia Sanga., amesema kuwa ni aibu kubwa kwa Wilaya ya Makete, kuwa na Udumavu kutokana kuwepo kwa kila aina ya Chakula, hivyo kila mwananchi anatakiwa kuhakikisha nyumbani kwake kunapatikana mlo kamili, wenye kuzingatia makundi yote.

Hata hivyo,  mkazi wa Kijiji Cha Makusi, Bw. Nelson Manda Konga, amesema kuwa, kuna haja ya Serikali kuwajengea uwezo wananchi katika Ufugaji wa Kuku na Ng'ombe kisasa zaidi, ili waweze kupata Maziwa na Mayai ya Kutosha.

Ikumbukwe kuwa, Leo Novemba 21, 2023, Kampeni ya Kutokomeza Udumavu Wilayani Makete, imeendelea Kwa kufanya mikutano ya hadhara katika Kijiji cha Ndapo kilichopo kata ya Kinyika, pamoja na Kijiji Cha Makusi, kilichopo kata ya Itundu.

"LISHE BORA KWA MTOTO MDOGO NDIO MPANGO MZIMA"

Imeandaliwa na :

Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini, 

Halmashauri ya Wilaya ya Makete.


 














ReplyForward















Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.