• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za Watumishi |
Makete District Council
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Makete

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, takwimu na ufuatiliaji
      • Ujenzi
      • Usafi na mazingira
      • Finance and Trade
      • Maendeleo ya jamii, Ustawi wa jamii na maendeleo ya vijana, wazee na watoto
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Agriculture, irrigation and Coorparation
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya habari na mawasiliano
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo na nyuki
    • Utalii
    • Viwanda
    • Nishati ya umeme
    • Maliasili
    • Usambazaji maji
    • Elimu
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu sekondari
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • madiwani
    • orodha ya madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Finance, Planing and Administration
      • Elimu, afya na maji
      • Economic, Works and Envornment
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba ya vikao vya halmashauri
      • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
      • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri kuonana na wananchi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogondogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
      • Kauli ya Serikali kuhusu 1.5 Trioni
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RAS - NJOMBE ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI, HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE

Tarehe Iliyowekwa: August 23rd, 2024

Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omari, leo Agosti 23,2024, amekagua Miradi ya Maendeleo katika Halamshauri ya Wilaya ya Makete, iliyopo kwenye Kata ya Kipagalo pamoja na Luwumbu, ambayo ni Miradi ya TASAF pamoja na Elimu Sekondari.

Akiwa katika Ukaguzi, Bi. Judica Omari, ameoneshwa kuridhishwa na Usimamizi wa Miradi ikiwa ni pamoja na Utendaji kazi wa Mafundi, ambapo ameagiza kukamilisha kazi chache ambazo zimebaki ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma kwa Wananchi.

"Hongereni kwa Usimamizi Mzuri wa Miradi, kwakweli mmezitendea haki Fedha zinazoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, shirikianeni Vizuri, katika Kila hatua ili miradi hii ikikamilika iwe na ubora unaotakiwa na serikali " Alisema Bi. Judica Omari.

Aidha, Bi. Judica, amezipongeza Kamati za Usimamizi wa Miradi ya TASAF ngazi ya Jamii, CMC, kwa Ushirikiano Mzuri katika Usimamizi wa Miradi hiyo.

Sambamba na hayo,akiwa katika mradi wa Madarasa 12, na vyoo 20, vya Shule ya Sekondari Usililo iliyopo Kata ya Luwumbu, amefurahishwa na ubora wa majengo hayo, ambayo yataenda kutumika na Kidato cha Tano na Sita, licha ya kukagua kukamilisha baadhi ya kazi zilizobaki.

Kwa Upande Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Ndg. William M. Makufwe, licha ya kukiri Kupokea maelekezo ya Katibu Tawala Mkoa wa Njombe, pia amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kupeleka Fedha za Miradi mbalimbali Wilayani humo, na kuahidi kuzisimamia ipasavyo.

Nao, Madiwani wa Kata za Luwumbu na Kipagalo, Mhe. Felix Kyando, na Mhe. Nehemiah Kayanda Sanga, wameishukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwapa Fedha hizo za Miradi.

Ikumbukwe kuwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omari, leo Agosti 23,2024, ametembelea na kukagua ya Ujenzi wa Bweni la Washichana, Madarasa 12 na Matundu ya Vyoo 18, katika Shule ya Sekondari Usililo, yenye thamani ya Shilingi millioni 507,411,483, pamoja na Ujenzi wa Kituo Cha Afya Kipagalo, ambacho kitaghalimu kiasi cha shilingi Milioni 805,788,185.

Matangazo

  • MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 August 15, 2024
  • TANGAZO LA KUSUDIO LA KUTUNGA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE YA MWAKA 2025 January 24, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED MWAGA KAGUA UJENZI WA MATUNDU ISHIRINI YA VYOO SHULE YA MSINGI MAFIGA

    August 26, 2025
  • DED MAKETE AKAGUA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MEKETE

    August 13, 2025
  • DED MAKETE DC AKABIDHI BENDERA KWA WASHIRIKI WA SHIMISEMITA 2025 - TANGA

    August 13, 2025
  • DED MWAGA ASISITIZA UBORA WA MEJNGO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 10, 2025
  • Angalia zote

Video

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • TAARIFA KUHUSU MAPATO (LGRCIS)
  • PLANREP
  • MAKETE DC Online TV
  • BEMIS
  • HIMS
  • MAKETE DC Facebook page
  • FFARS
  • MAKETE DC Instagram page

Kurasa Mashuhuri

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ikulu
  • CHF-IMIS DEV
  • Baraza la Mitihani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MAKETE DISTRICT COUNCIL

    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania

    simu: +255 262 740016

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ded@maketedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.